SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Jinsi Ya Kutunza Nywele Nyepesi (chache)
Hair

Jinsi Ya Kutunza Nywele Nyepesi (chache) 

We all want to have skinny body but nobody wants to have thin hair, wengi tuna tupia lawama homoni ( nimezaliwa hivi hivi), wengine salon, madawa nakadhalika, inawezekana una natural au relaxed hair na bado zikawa nyepesi hii ni kutokana na mambo mengi ambayo baadhi tumeyataja hapo juu. Lakini ni namna gani unaweza kuzitunza hizi nywele ziishe zaidi? soma hapo chini

 • Osha nywele mara moja kwa week au kila baada ya week – tunapaka mafuta mbalimbali ya nywele yana kemikali mbalimbali inawezeka ni nzuri kwa wakati fulani baada ya hapo zinakua kemikali mbaya kwa hiyo ni vyema kuziosha kabla hazija badilika na kuzidi kuharibu nywele zako.

 

 • Tumia conditioner – Tumia conditioner kuoshea nywele zako na paka sana mwisho wa nywele maana ndipo pazee na panapo kuwa kwepesi kuliko chini zinazo ota.

 

 • Fanya hot oil treatment mara moja kwa mwezi – hii inasaidia kuzipa nywele zako unyevu na kuzikuza.

 

 • Usilale na nywele ambazo hazijakauka – kausha nywele kabla ya kulala, kama nywele ni nyepesi ukalala nazo zikiwa na maji ni rahisi kukatika.

 • Punguza matumizi ya moto – matumizi ya moto si mazuri hata kwa wenye nywele nzito, moto huunguza nywele na kuzifanya ziwe nyepesi, punguza au acha kabisa.

 

 • Hakikisha rasta,misuko ya kawaida haikazwi sana – ukisukwa rasta au misuko ya kawaida na huku una nywele nyepesi ni rahisi kukatika, hakikisha msusi wako ana kuwa katikati hakazi na wala halegezi.

 

 • Tumia hinna au dawa za kuzipa nywele uzito Henna inasifika kwa kujaza na kuzipa uzito nywele kama una nywele nyepesi basi fanya henna awe rafiki wa karibu na nywele zako.

Kusoma namna ya kutunza nywele kavu click hapa

Related posts

4 Comments

 1. Contact Center

  … [Trackback]

  […] Find More on that Topic: afroswagga.com/urembo/jinsi-ya-kutunza-nywele-nyepesi-chache/ […]

 2. Web Site

  … [Trackback]

  […] Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/jinsi-ya-kutunza-nywele-nyepesi-chache/ […]

 3. cablagem informática

  … [Trackback]

  […] Read More on that Topic: afroswagga.com/urembo/jinsi-ya-kutunza-nywele-nyepesi-chache/ […]

 4. my latest blog post

  … [Trackback]

  […] Find More here on that Topic: afroswagga.com/urembo/jinsi-ya-kutunza-nywele-nyepesi-chache/ […]

Comments are closed.