SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Jojoba Oil Na Faida Zake
Skin Care

Jojoba Oil Na Faida Zake 

Ni mafuta mazuri kwa ngozi kavu, kawaida na baadhi ya ngozi za mafuta.

Jojoba ni mafuta kwa muonekano ila ni wax (nta), yanafanana kwa muundo wa  kemua (chemivalstructur) kama mafuta yanayotengenezwa na ngozi zetu yani SEBUM. Kwa hiyo haya mafuta ni mazuri sana kwa ngozi iliyo komaa yani MATURE SKIN, Mature skin ni ya mtu toka umri wa 35 + .

Kuna wakati umri unaposonga nao mfumo wa mwili unabadilika ndipo unakuta unaanza kupata mikunyanzi. Ukiwa na mafuta haya ya jojoba yanakusaidia sana kufanya kazi ile ile ya sebum…kama umri umesonga na mwili hautengenezi sebum ya kutosha…

Sebum inapozidi kwenye ngozi ndipo tunasema. Una ngozi ya mafuta. Naikizidi  kishauwe hauna utunzaji mzuri wa ngozi ndio unakuta unapata chunusi kwasababu  inaziba matundu ya ngozi.

Sebum inasaidia ngozi kuvutika, kung’aa na Kutengeneza collagen ya ngozi (kupunguza mikunyanzi na michirizi)

Hivyo basi kuna faida nyingi katika kutumia jojoba oil kama hujaanza kutumia fanya hivyo. na ufurahie faida zake.Na faida hizo ni pamoja na

1. Inafaa kwa aina zote za ngozi

2. Inaondoa makunyazi kwa watu wenye umri wa miaka 35 na kuendelea

3. Inasaidia kufifisha michirizi

4. Yanapatikana kirahisi, ni rahisi kutumia na hayana madhara 


Jinsi ya kutumia : Unatumia kama utumiavo mafuta mengine!

©️binturembo

Related posts

2 Comments

  1. informative post

    … [Trackback]

    […] Find More on that Topic: afroswagga.com/urembo/jojoba-oil-na-faida-zake/ […]

  2. เครดิตฟรี 50 ยืนยันเบอร์

    … [Trackback]

    […] Find More here to that Topic: afroswagga.com/urembo/jojoba-oil-na-faida-zake/ […]

Comments are closed.