SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

JUA ZAIDI KUHUSU CROCHET BRAIDS
Hair

JUA ZAIDI KUHUSU CROCHET BRAIDS 

Crochet Braids ni nini? Crochet Braids ni nywele/rasta ambazo husukwa kabisa kisha uja kushonewa kwa juu kama ambavyo hufanyika katika kushonea katika ma weaving tofauti ya weaving na rasta hizi ni kwamba Crochet Braids hazishonewi na uzi japo pia hushonwa/kusuka kupitia sindano maalumu.

3-pcs-Lot-Plastic-Handle-Crochet-Hook-Interlocking-Braid-Needle

Faida za Chrochet Braids

  • Unaweza kufanya mwenyewe na ukapata matokeo mazuri
  • hutumia muda mchache zaidi
  • haina gharama (kama kumlipa msusi)
  • hutunza nywele zako na kufanya kuto kukatika
  • una weza kutumia rasta zako mara nyingi uwezavyo.

Nywele gani hutumika katika kusukia Crochet Braids.

  • Cuban Twist Braids
  • Havaanna Twist Braids/Mambo Twist
  • Jamaican Twist Braids hizi ni huwa zime sukwa kabisa una nunua zikiwa zimisha tengenezwa. Ambazo hizi hukaa kama rasta

HAVANA-TWIST-BRAID-24-Inch-Zury-Synthetic-Braid

Curly Hair

B_8_500

Hatua Kwa Hatua Jinsi Ya Kusuka Crochet Braids

  • Suka Twende kilioni kama inavyo onekana kwenye picha
  • Chukua nywele kidogo na kisha weka kwenye sindano
  • Ingiza nywele na sindano katika minyoosho yako (latch ya sindano ikiwa ime fungwa)
  • toa sindano
  • kisha funga nwyele yako (uta elewa zaidi chini kwenye video

 

Related posts

Leave a Reply