SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Jua Zaidi Kuhusu Eyebrow Microblading
Make Up

Jua Zaidi Kuhusu Eyebrow Microblading 

Tumekuwa tukipata maswali mengi kwenye mitandao ya kijamii kuhusu eyebrow microblading, wengine wakiwa wanauliza ni nini, wengine wanauliza hapa Tanzania ni nani ana fanya na wengine wakituambia nini maoni yetu kuhusu hii trend, Well tumejaribu kutafuta eyebrow microblading ni nini na inakuwaje

Ni Aina ya Tattoo japo hii si kama Tattoo nyingine, ambapo rangi inaingizwa chini ya ngozi yako na chombo cha mkono  badala ya mashine, rangi inaingizwa chini ya ngozi yako yaani kwenye nyusi na inaweza kukaa zaidi ya miaka mitatu ni temporary haikai milele.

Watu wengi maarufu wame weka hii tattoo kama mwanamitindo Cara Delevingne ,

Kabla ya kufanya hii treatment unahitaji kujiandaa, kama una kunywa pombe au kunywa dawa una hitaji kukaa week moja kabla ya kwenda kufanyiwa treatment hii kwa sababu unaweza kutokwa damu nyingi.

Baada ya kufanyiwa hii process inaweza kuwa essential kwako hakuna kitu kitakacho fanya uwe na wasiwasi na eyebrows zako labda ukilowana wanja utafutika au kupoteza muda wa kupaka wanja mara kwa mara, tunaweza kusema faida kubwa mbili za hii process ni kwamba you eye brows zitakuwa on fleek hata ukitoka kuamka, na pia inasaidia kwenda na muda as we all know ukipaka wanja unachukua muda kupata perfect eye brows.

  • Je Inauma?

Moja ya ecpert wa kufanya hii treatment aliongea na gazeti la Elle.com “Aava  alisema “Some feel more than others. Overall it feels like little scratches. You feel it, but it’s not unbearable. It’s not like having a baby,” Akiwa anamaanisha kuna maumivu lakini kila mmoja na maumivu yake wengine husikia sana kuliko wengine japo yanavumilika sio kama maumivu ya uchungu wa kujifungua.

  • Ni Kiasi Gani

Bei kubwa kabisa ni $900 sawa na 2,051,370 za ki-Tanzania japo pia zipo za bei rahisi ambazo zinafanyika, kama umeamua kufanya hii treatment inabidi utafute watu wenye experience kumbuka hii ni kama tattoo lakini kubwa zaidi inafanyika karibu na jicho, jipange na tafuta sehemu bora ambayo utapata matokeo bora na si madhara.

Kusoma zaidi kuhusu hii Eyebrow Microblading ingia hapa  Eyebrow Microblading

 

Related posts

4 Comments

  1. overdose on mushrooms

    … [Trackback]

    […] Find More on to that Topic: afroswagga.com/urembo/jua-zaidi-kuhusu-eyebrow-microblading/ […]

  2. Stanozolol Tabletten Kaufen

    … [Trackback]

    […] There you will find 23661 more Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/jua-zaidi-kuhusu-eyebrow-microblading/ […]

  3. best way to make passive income

    … [Trackback]

    […] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/urembo/jua-zaidi-kuhusu-eyebrow-microblading/ […]

  4. Fysio Dinxperlo

    … [Trackback]

    […] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/urembo/jua-zaidi-kuhusu-eyebrow-microblading/ […]

Comments are closed.