Katika ulimwengu wa mitindo uwezi kuwa umekamilika bila ya kitu cha ziada, kinaweza kuwa accessories, nywele au hata makeup. Na kwasasa tasnia inayofanya vizuri kwenye ulimwengu wa mitindo ni urembo, makeup, nywele, kucha vinapewa kipaumbele na wanawake wanapenda kuvipendezesha ilikukamilisha mionekano yao.
Leo tutaongelea kuhusu makeup ambazo tumeziona kwa watu maarufu kutoka Tanzania na kuwa judge kutokana na jicho letu lilivyoona, yes tumekuwa tukijudge mionekano zaidi na kuacha hivi vingine from now on nothing is safe & anything will be judged.
Wema Sepetu alihudhuria harusi na hii makeup look, which we all know Wema anapendezaga sana with or without makeup, tulishawahi kumuona makeup artist mmoja akisema, Wema ana sura rahisi kufanyia makeup.
Makeup amefanyiwa na makuep artist @NataliaMakeup, we love the smokey eye, lipstick on point ambacho kimetuangusha ni baby hair style, jinsi ambavyo amegundishwa its kinda old fashioned.

Talking about Flawless makeup, Mh. Jokate served us that, hii makeup haijambadilisha kuwa mtu mwingine yet its so clean you can see all the details kuanzia eyeliner, eye shadow, tumependa namna ambavyo wamejaribu kuweka uhalisia katika nyusi na mdomo & we can’t ignore the sleek hair & extra ponytail by @certified_perucaz, makeup amefanyiwa na @ topfairys_makeup

Gigy Money In @MakeupByEddie , tunaweza kusema hii ni better version ya Gigy Money in makeup ambayo tumewahi kuiona, the shimmer eye shadow, ombre lips & hair is just perfect. Ambacho kime tu-disappoint ni eye brows mistari ya kuchora imeonekana makes it look fake lakini vingine on point love it.

Well afromates tunahayo tu kwa leo tuambie wewe kwako makeup look ipi ndio imekuvutia zaidi kati ya hizi tatu?
Related posts
8 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More on on that Topic: afroswagga.com/urembo/judging-wema-sepetu-jokate-mwegelo-gigy-money-makeup-looks/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/urembo/judging-wema-sepetu-jokate-mwegelo-gigy-money-makeup-looks/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on on that Topic: afroswagga.com/urembo/judging-wema-sepetu-jokate-mwegelo-gigy-money-makeup-looks/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/urembo/judging-wema-sepetu-jokate-mwegelo-gigy-money-makeup-looks/ […]
… [Trackback]
[…] Here you can find 20645 additional Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/judging-wema-sepetu-jokate-mwegelo-gigy-money-makeup-looks/ […]
… [Trackback]
[…] Find More here on that Topic: afroswagga.com/urembo/judging-wema-sepetu-jokate-mwegelo-gigy-money-makeup-looks/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/judging-wema-sepetu-jokate-mwegelo-gigy-money-makeup-looks/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/urembo/judging-wema-sepetu-jokate-mwegelo-gigy-money-makeup-looks/ […]