SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Judith Leiberny Stack Of Cash Clutch Ndio Accessory Pendwa Kwa Sasa
Urembo

Judith Leiberny Stack Of Cash Clutch Ndio Accessory Pendwa Kwa Sasa 

Watu maarufu wananamna ya kufanya vitu vi-trend, kuna season ambapo unakutana na kitu cha aina fulani kimevaliwa au kubebwa na asilimia kubwa ya watu maarufu hapo ndipo unajua hichokitu kina trend kwa sasa.

Na season hii ambacho tumekiona kinatrend ni hii clutch kutoka kwa mbunifu Judith Leiberny, Inaitwa Stack Of Cash Clutch.

Sifa zake ni kwamba imetengenezwa kwa:

 • Crystal-covered brass novelty handbag
 • Silver toned metal hardware
 • Top push down closure
 • Metallic leather lined interior
 • Removable long shoulder chain 
 • Judith Leiber Couture Collector’s Edition Nameplate
 • Style Number M31961
 • Made in Italy

Clutch hii inauzwa $5,695/- ambapo ni sawa na Tsh 13,114,446.00/-

Watu maarufu mbalimbali wameonekana kuvutiwa na hii clutch, its a big rich town & only rich people can afford it

kylie Jenner alibeba hii clutch huku akiwa amevalia orange sequin jumpsuit akamalizia na clear heels with a caption “hello october”
J to the Lo alionekana kwenye red carpet ya premier ya movie ya “Hustlers” akiwa amevali yellow dress, open sandals akiwa amemalizia kwa kubeba Stack Of Cash Clutch.
Queen B alihudhuria katika Shawn Carter Foundation Gala akiwa amevalia hii nude dress na amemalizia muonekano wake na Stack Of Cash Clutch “yake inasema billion ambayo bado haijatolewa ulimwenguni”
Khloe Kardashian receiving money calls with Stash Of Cash Clutch

Well Afromates kama utataka kununua ingia hapa judithleiber.com

Related posts

5 Comments

 1. how to download facebook videos

  … [Trackback]

  […] Read More here to that Topic: afroswagga.com/urembo/judith-leiberny-stack-of-cash-clutch-ndio-accessory-pendwa-kwa-sasa/ […]

 2. check that

  … [Trackback]

  […] There you will find 35883 more Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/judith-leiberny-stack-of-cash-clutch-ndio-accessory-pendwa-kwa-sasa/ […]

 3. weight loss pills orlistat​

  … [Trackback]

  […] Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/judith-leiberny-stack-of-cash-clutch-ndio-accessory-pendwa-kwa-sasa/ […]

 4. Adult Step Sister Sex Cams

  … [Trackback]

  […] Here you will find 92763 additional Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/judith-leiberny-stack-of-cash-clutch-ndio-accessory-pendwa-kwa-sasa/ […]

 5. health tests

  … [Trackback]

  […] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/urembo/judith-leiberny-stack-of-cash-clutch-ndio-accessory-pendwa-kwa-sasa/ […]

Comments are closed.