SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

KAROTI KWA NGOZI BOWRA
Dondoo

KAROTI KWA NGOZI BOWRA 

beautiful-black-woman-urbsocietymagazineKaroti sio zao geni, najua tulio wengi tunalifahamu kama kiungo cha mboga. Kwetu Tanzania tumezoea kutumia karoti katika kuunga mchuzi na wachache hutafuna kama tunda. Lakini kinyume na matumizi hayo, ulaji wa karoti una faida nyingi katika urembo na mwili kwa ujumla, Leo nataka tuangalie jinsi karoti inavyokufanyia uwe kichuna.

 

1. NGOZI BOWRA.

Karoti ina kiasi kikubwa cha Vitamin C ambayo inasaidia katika urutubishaji wa afya ya ngozi. Unaweza kuitumia Karoti katika kutengeneza Mask ya uso.  Ambayo karoti unachanganya na Asali. Unywaji wa juisi ya karoti inasaidia katika kuondoa makovu katika sehemu mbalimbali za ngozi.

2. KINGA YA NGOZI

Karoti pia ni kinga ya baadhi ya magonjwa ya ngozi, Madini yaliyo katika karoti ynaweza kuikinga ngozi isipatwe na Vichunusi pamoja na vipere.

3. UKAVU WA NGOZI

Unywaji wa juisi itokanayo na karoti unasaidia kuipa ngozi yako ubichi muda wote na kuondoa ukavu wa ngozi.

4. ULIZI WA JUA

Karoti inasaidia katika kuikinga ngozi na mionzi ya jua. Vitamini A vilivyomo kwenye karoti

 

MUHIMU: Ulaji wa karoti uliopitiliza unaweza kusababisha rangi ya ngozi kubadilika na kuwa ya rangi ya machungwa.

Tumeona matumizi ya karoti yanavyoweza kukupa matokea bowra kabisa katika urembo wa ngozi yako.

Related posts

Leave a Reply