Kim Kardashian anonekana kuto-kuslow down even after kupeana talaka na mumewe Kanye West ( The true definition ya ni kuoga na kurudi kwa soko), mwanadada huyu sio tu ana mpenzi mpya bali pia amezindua biashara mpya ya vipodozi vya ngozi ambavyo ameviita SKKN by Kim ( words on the street, yaani umbea ni kwamba ameiba jina la SKN by LH ya Lori Harvey). Well tuendelee na yanayotuhusu koh koh.
Kim amefanyiwa mahojiano na nytimes magazine amesema kwamba ” “I’ll try anything,” “If you told me that I literally had to eat poop every single day and I would look younger, I might. I just might.”

Well seems like Kim K would do anything kuwa forever young, tukikumbuka vizuri alishawahi kufanya vampire facial, Vampire Facial treatment requires blood to be drawn, then put through a special machine to separate the red cells from the nutrient-rich and regenerative plasma. This plasma is then injected into the facial skin, where it is supposedly meant to encourage collagen production and soften fine lines

Well Afromates how far would you go to stay young forever?
Related posts
HOT TOPICS
As long as hakuna Aya,Mstari Au Kifungu Kinachosema “Kuto Kuoga Ni Dhambi Au Kosa Kisheria” Then Perfume na Bodyspray Tu Zinatosha Msimu Huu
FollowDown To Very Little Details, Read More Here 👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾 https://t.co/IeYufSGMgy https://t.co/IeYufSGMgy
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…