SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Kim Kardashian Asuka Fulani Braids Katika Tuzo Za MTV Movie & TV Awards
Hair

Kim Kardashian Asuka Fulani Braids Katika Tuzo Za MTV Movie & TV Awards 

Mwanamitindo na mjasiriamali Kim Kardashian ameonekana katika Tuzo za MTV Movie & Tv Awards akiwa amesukia rasta za fulani braids, kuna kipindi hizi rasta zilitrend sana watu maarufu wengi walisukia imeonekana Kim kavutiwa nazo na kuzisukia katika hafla ya MTV Movie & TV Awards,

Kim alisuka rasta nyeusi ambapo style yake ilikuwa amekata katikati (middle part), Ame style hii ya nywele na signature style yake ya kuvaa two pieces outfit.

 

Well sio wote ambao walipendezwa na Kim Kusukia style hii ya nywele hasa black Americans ambao wanasema Kim Kardashian ana fanya matumizi mabaya ya asili yao yaani culture appropriation.

Baada ya hizi comments kufurika katika comment section ya mwanadada Kim K ikatufanya tujiulize sio sisi tunaolalamikia watu kuchukua asili yetu ndio ambao tuna kimbilia asili yao kwa kununua na kuvaa 32 inchies za ma wig na weaving’s zilizo tengenezwa na nywele zao? Sio sisi ambao tuna wa furahia wakina Nicki Minaj, Black Chyna wakivaa hizi nywele? why we Kim press the panic button in us wakati sisi wenyewe tunakimbia asili yetu?

Tupe maoni yako katika hili.

 

Related posts

4 Comments

 1. สล็อตเว็บตรงไม่มีขั้นต่ำ

  … [Trackback]

  […] There you can find 66874 more Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/kim-kardashian-asuka-fulani-braids-katika-tuzo-za-mtv-movie-tv-awards/ […]

 2. ufabet

  … [Trackback]

  […] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/urembo/kim-kardashian-asuka-fulani-braids-katika-tuzo-za-mtv-movie-tv-awards/ […]

 3. Lyophilized Goldmember Magic Mushrooms

  … [Trackback]

  […] Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/kim-kardashian-asuka-fulani-braids-katika-tuzo-za-mtv-movie-tv-awards/ […]

 4. Oregon mushroom shop

  … [Trackback]

  […] Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/kim-kardashian-asuka-fulani-braids-katika-tuzo-za-mtv-movie-tv-awards/ […]

Comments are closed.