Kim K amekuwa ananew look, ambapo ameamua ku-breach eye brows zake. Hii si mara ya kwanza kwa Kim kufanya hivi amekuwa aki-breach eye brows zake pale ambapo ana photoshoot au anapotaka kubadilisha muonekano wake.

Kupitia Instagram story yake Kim alituonyesha alivyoweka breach mpaka alipoitoa na baada ya nyusi zake kuwa za blonde alionekana kubadilisha na nywele zake pia kuwa rangi inayofanana na nyusi.
Angalia Video hapo chini
Lakini look hii haikukaa sana mara baada ya kumaliza ku-shoot Kim K alitonyesha kuwa amerudi katika look yake ya siku zote.

tuambie maoni yako umependa muonekano mpya wa Kim K?
Related posts
5 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Here you will find 24929 more Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/kim-kardashian-blonde-eye-brows/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/urembo/kim-kardashian-blonde-eye-brows/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/urembo/kim-kardashian-blonde-eye-brows/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on on that Topic: afroswagga.com/urembo/kim-kardashian-blonde-eye-brows/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/urembo/kim-kardashian-blonde-eye-brows/ […]