Wenzetu kujitoboa au kuji tattoo ni kitu cha kawaida na mara nyingi wana fanya hivi wakiwa wame patwa na majanga, japo furaha na kuamua tu huwa wana fanya lakini mostly ukisikia mtu kachora tattoo mpya au kajitoboa ni kaumizwa, hatuna uhakika na kwanini Kim K kaamua kujitoa mdomo lakini tukienda siku kadhaa nyuma alipatwa na matatizo mbali mbali ikiwemo mumewe Kanye West kuumwa na yeye kupata jaribio la kuibiwa.
Labda kaamua kujitoboa ili kubaki na kumbukumbu hio na kuondoa yale maumivu lakini pia ina wezekana ni Kim Being Kim au hata haja toboa ana jaribu ku settle a trend.
mara ya kwanza kumuona Kim na urembo huu ni alipo post selfie yake ya kwanza ya mwaka 2017 akiwa na mama yake Kris Jenner, ili caught our eye’s lakini tulihisi ni one time thing
until tulipo muona nayo so many times akiwa katika mitoko yake mbali mbali
Kim Bado hajaweka ile a come back yake official maana bado ana vaa hizi nguo zake kubwa kubwa or may be this is a new 2017 Kim
Je Mmependa urembo wake huu au hapana? tuambie kupitia
Instagram – afroswagga
facebook – afroswaggamag
Twitter – afroswaggatz
Related posts
HOT TOPICS
Happiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/VZ1jH2zJUg
FollowHappiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/689j7Yjcn0
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
Feza Kessy Atuelezea Kuhusu Fashion & Style Zake
Feza Tadei Kessy ni Muimbaji, Muigizaji lakini pia ni mtunzi wa nyimbo lakini pia Fezza ni former beauty queen ambapo mwaka 2005 alikuwa Miss Dar City Centre, Miss Ilala & Miss Tanzania Runner up. Lakini pia alishawahi kuwepo katika Reality Tv Show – Big Brother Africa. Kwa…