SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

KINACHO KIKI SASA NI COLORED CORNROW (MINYOOSHO)
Hair

KINACHO KIKI SASA NI COLORED CORNROW (MINYOOSHO) 

Kilichopo katika trend kwa sasa ni minyoosho ya rangi rangi, kwa kipindi kirefu tumeona watu mbali mbali wakiwa na hii style ya minyoosho kuanzia Beyonce, Kim Kardashian na wengineo lakini hakuna kitu kizuri kama kitu kuwa katika trend halafu wewe uka kifanya kwa tofauti. yes na hivyo ndivyo inavyo onekana kwa sasa watu wengi wame sukia mnyoosho lakini ya rangi rangi

36E4A6C400000578-3724811-image-a-25_1470384591311

Kim Kardashian ame suka minyoosho yake lakini tofauti na wengine yeye ame accessories na hair rings

370DD4CA00000578-0-image-m-31_1470787451937

Kylie ame amua kuwa na red hair, na ame suka minyoosho13739625_1263672916990633_1936424281_n

Khloe Kardashian yeye kaenda na purple na blonde

Rita-Ora-Leaves-her-Soho-Apartment--01-662x897

Ita Ora nae hakuwa nyuma na hii trend ameonekana na purple na blonde pia

Kama umeipenda hii style usisite kusuka na kutu onyesha msuko wako.

Related posts

7 Comments

 1. Gelato 33 3.5g Flower

  … [Trackback]

  […] Read More on that Topic: afroswagga.com/urembo/kinacho-kiki-sasa-ni-colored-cornrow-minyoosho/ […]

 2. more info here

  … [Trackback]

  […] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/urembo/kinacho-kiki-sasa-ni-colored-cornrow-minyoosho/ […]

 3. หมอนวดอิสระ

  … [Trackback]

  […] Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/kinacho-kiki-sasa-ni-colored-cornrow-minyoosho/ […]

 4. go x scooters

  … [Trackback]

  […] Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/kinacho-kiki-sasa-ni-colored-cornrow-minyoosho/ […]

 5. magic mushroom for sale,

  … [Trackback]

  […] Find More on on that Topic: afroswagga.com/urembo/kinacho-kiki-sasa-ni-colored-cornrow-minyoosho/ […]

 6. Web Hosting

  … [Trackback]

  […] Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/kinacho-kiki-sasa-ni-colored-cornrow-minyoosho/ […]

 7. mac-banger https://exotichousedispensary.com/product/mac-banger/

  … [Trackback]

  […] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/urembo/kinacho-kiki-sasa-ni-colored-cornrow-minyoosho/ […]

Leave a Reply