SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Kinyozi Wa Diamond Atupiwa Lawama
Urembo

Kinyozi Wa Diamond Atupiwa Lawama 

Kinyozi wa mwanamuziki Diamond Platnumz amekuwa gumzo na kulaumiwa na mashabiki na wasio mashabiki wa mwanamuziki huyo kwa kumtendea Diamond Vibaya.

Jana katika Sikukuu ya Easter, Diamond alihudhuria sherehe za Mtoko wa Pasaka ambapo alivaa suit ya maroon nzuri, kilichoshtua wengi ni namna alivyo nyolewa na kupakwa super black

Kinyozi alishindwa kuweka hii black kuwa even lakini pia angle zinaonekana kabisa kama ni za kuforce inawezekana walikua na haraka au kinyozi hakuwa na mood, watu walionekana ku comment kwenye picha hii ya Diamond na kumpa lawama kinyozi huyu

Tupe maoni yako kuhusu kinyozi huyu wa Diamond Platnumz

Related posts