Watu wanaweza kusema The Kardashian hawana talent lakin they sure know how to make money, the fact that hawa wadada wana saidiana katika biashara zao ina fanya waendelee kuwa millionaires siku hadi siku, kwa kukumbusha tu Kylie na Kendall wana clothing line, Japo Kylie ana Cosmetic Brand yake na Kendall ni Model, Khloe ana Jeans line yake lakini bado ali fanya collaboration na Kylie katika Lipstick zake, Khloe, Kim na Khloe wana Clothing line yao inaitwa Dash basi ili mradi they are making money na hatuachia kuwaongelea mdomoni.
Na sasa Kylie ame amua kufanya collaboration na dada yake ambae wana fanana almost kila kitu Kim Kardashia, Collaboration hii inaitwa KKW (kIma Kardashian West) X Kylie Jenner
Wawili ambao ki muonekano wanaonekana kama twins au mama na mwana wamefanya tangazo hilo wakiwa topless (as usual giving us something to talk about) na inaonekana kama ni make up au nude lipstick as the video inaonyesha wakiwa wana jiremba
What can we say Keep The Money Running Kylie & Kim Kardashian and we can’t wait kujua ni nini kina pikwa
View this post on InstagramCOMING SOON @kyliecosmetics #KKW
A post shared by Kylie (@kyliejenner) on
Related posts
3 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More on to that Topic: afroswagga.com/urembo/kkw-x-kylie-jenner-cosmetic-collaboration/ […]
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/urembo/kkw-x-kylie-jenner-cosmetic-collaboration/ […]
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/kkw-x-kylie-jenner-cosmetic-collaboration/ […]