SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Kupauka Kwa Miguu
Urembo

Kupauka Kwa Miguu 

Kuna sababu nyingi ambazo husababisha ngozi ya miguu yako hukauka, kama vile mabadiliko ya hali ya hewa, athari kwa kitu ambacho unatumia katika ngozi, au ugonjwa.

Lakini pia kuna njia nyingi za kutuliza ngozi kavu kwa kupitia mabadiliko ya mtindo wa maisha yako, moisturizers, na matibabu.

Ni nini husababisha ngozi ya miguu kuwa kavu?

  • Ngozi inakuwa kavu wakati haina uwezo wa kuweka maji ya kutosha kwenye safu ya juu kwa kutumia mafuta asilia ya mwili. Miguu yako inaweza kukauka kwa sababu mbalimbali, kuanzia mambo ya mazingira hadi hali ya kiafya.

Hizi ni baadhi ya sababu za kawaida za ngozi kavu kwenye miguu

  • Allergic dermatitis
  • Eczema
  • Psoriasis
  • Weather changes
  • Harsh products
  • age
  • Medical conditions

Je Utafanyaje Kuondokana Na Tatizo Hili?

  • Fany mabadiliko katika uogaji wako

Zingatia kuoga kwa kutumia maji ya uvuguvugu a(badala ya moto) na punguza muda unaotumia kwenye kuoga. Iwapo sabuni yako ya kuoga, shampo vina kemikali kali na manukato, fikiria kuvibadilisha ili upate bidhaa bora zaidi.

  • Paka Mafuta

Mojawapo ya tiba muhimu zaidi ya ngozi ya kavu ni moisturizing kila siku. Unapaswa kulainisha ngozi yako mara tu baada ya kuoga hakikisha unapaka mafuta ngozi ikiwa bado na unyevu. Baadhi ya mafuta yanayo sifika kukaa kwenye ngozi ni Cetaphil, CeraVe, Vaseline, na Aveeno zote zinazopendekezwa zinaweza kutumika kwa ngozi kavu, lotions haipendekezwi kwa kuwa hazina unyevu mwingi.

  • Tumia Product Zisizokuwa Na Kemikali Nyingi

Kemikali kali katika bidhaa za utunzaji wa ngozi zinaweza kuchangia ngozi kavu. Ni muhimu kutumia vipodozi visivyo na kemikali nyingi.

  • Kunywa maji ya kutosha

Unapaswa pia kuhakikisha unakunywa maji mengi kila siku. Hii itazuia ngozi yako kuwa kavu. Lengo la kunywa glasi nane za aunzi 8 za maji kila siku. Unaweza kuhitaji kunywa zaidi ya hii, kulingana na uzito wa mwili wako na viwango vya shughuli unazo zifanya.

Note: Kuna sababu nyingi tofauti zinazosababisha ngozi kavu kwenye miguu, kuanzia allergy na mabadiliko ya hali ya hewa na magonjwa. Lakini haijalishi ni sababu gani, inawezekana kupata nafuu kutokana na tatizo hili, baadhi ya vitu vinavyoweza kukusaidia ni kutumia moisturizers na kufanya mabadiliko ya maisha inaweza kutosha kuzuia ngozi kavu. Lakini ikiwa ngozi kavu kwenye miguu yako inasababishwa na hali ya matibabu, utahitaji kutibu hali hiyo pia.

Related posts

1 Comment

  1. metronidazol y clindamicina

    […] metronidazol y clindamicina[…]

    metronidazol y clindamicina

Comments are closed.