SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Kuza Kope Kwa Kutumia Aloe Vera Gel Na Mafuta Ya Mnyonyo
Urembo

Kuza Kope Kwa Kutumia Aloe Vera Gel Na Mafuta Ya Mnyonyo 

Castor oil au mafuta ya mnyonyo ni moja kati ya vitu vya asili vyenye faida nyingi na vinaweza kutumika mara nyingi katika maswala mbalimbali kama afya na urembo, lakini vilevile kwa mshubiri au wengi tumezoea kuita mti wa Aloe Vera. Leo tunakuletea namna ambavyo unaweza kuchanganya vitu hivi viwili na kuweza kukuza kope zako.

 

  • Mahitaji

Mafuta ya mnyonyo – vijiko viwili

Aloe Vera Gel (ute wa mshibiri) – vijiko viwili

Kikopo chenye mfuniko

brush ya kupakia mascara.

  • Namna Ya Kufanya

Changanya mchanganyiko wa mafuta ya mnyonyo na aloe vera gel

paka katika kope kila siku usiku kwa kutumia brush ya kupakia mascara

usioshe mchanganyiko huu mpaka asubuhi muda ya kuoga

shake kila mara unapotaka kupaka mchanganyiko wako

utaanza kuona matokeo baada ya wiki 2-4

 

 

 

 

Related posts

3 Comments

  1. Discover More

    … [Trackback]

    […] Find More on that Topic: afroswagga.com/urembo/kuza-kope-kwa-kutumia-aloe-vera-gel-na-mafuta-ya-mnyonyo/ […]

  2. Blue Meanie Mushrooms (Panaeolus Cyanescens) Shop online,

    … [Trackback]

    […] Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/kuza-kope-kwa-kutumia-aloe-vera-gel-na-mafuta-ya-mnyonyo/ […]

  3. mushrooms of Florida

    … [Trackback]

    […] Read More to that Topic: afroswagga.com/urembo/kuza-kope-kwa-kutumia-aloe-vera-gel-na-mafuta-ya-mnyonyo/ […]

Comments are closed.