SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Kwanini Ukate Ncha Za Nywele?
Hair

Kwanini Ukate Ncha Za Nywele? 

Katika kushauriwa ukuzaji wa nywele zenye afya na ndefu mara nyingi tunakuta tunaambiwa tukate ncha za nywele, lakini kukata ncha hizi za nywele kuna saidiaje kukuza nywele? na je ni mara ngapi unatakiwa kukata hizi ncha?

Ncha za nywele ni zile nywele zilizopo mwishoni kabisa hizi huwa nyepesi kuliko nywele zote ni kama zimesha kufa, wengi hujiuliza kwanini nywele hizi ni nyepesi?

  • ni kutokana na matumizi ya moto na kuchana nywele vibaya, ili kukuza nywele zako kuwa ndefu na zenye afya ni vyema ukakata ncha. Ni kama katika kukata miti au michongoma ile ya juu hukua nakuwa mibaya wakati huku chini inashamiri kwa kupata matunzo mazuri lakini kama utaiacha ile ya juu basi itaharibu show nzima ya hii ya chini.
  • Ncha za nywele mara nyingi huwa zimeschoka na hata rangi yake kubadilika, mara nyingi ncha huwa lighter kuliko nywele za chini, zina harinu muonekano mzuri wa nywele
  • hata ukitumia pesa kiasi gani katika salon kama Ncha za nywele zako hujakata zitaonekana lifeless hazitopendeza hata kidogo lakini pia husababisha ukatikaji wa nywele.
  • huwezi kutibia Ncha kwa kufanya hair treatmens, unachotakiwa kufanya ni kuzikata tu, utapoteza muda na fedha zako bure, split ends hazina tiba

Namna ya kuepuka Ncha za nywele au nywele zilizo choka

  • kata ncha
  • paka mafuta nywele zako kabla ya kuziosha
  • kausha nywele zako taratibu
  • tumia chanio lenye meno makubwa kuchana nywele
  • punguza matumizi ya moto katika nywele
  • kula chakula bora

 

 

Related posts