Kwasasa wengi wetu tuna kimbia kuzeeka, tunafanya mazoezi tunatumia bidhaa ambazo zinafanya ngozi zetu kuonekana kama za vijana japo umri umeshakwenda, well leo tunakuletea hii tip endapo wewe ni mmoja wa wale unaotumia anti aging products.

Unapotumia Anti Aging Products unatakiwa kuwa muumini mzuri wa kutumia sunscreen pia, kutumia anti Aging Products peke yake kunaweza kufanya ngozi yako kuzeeka haraka. Pia unaweza kutumia sunscreen peke yake kama Anti Aging Product bila kutumia hizo products wanazosema ni Anti Aging, unaweza kujiuliza kwanini? Sunscreen ni product pekee ambayo inaweza kuzuia miale ya jua kuingia kwenye ngozi yako moja kwa moja na miale ya jua ndio sababu moja kubwa inayosababisha ngozi kuzeeka.
Related posts
3 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Here you can find 32550 more Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/kwanini-unatakiwa-kutumia-sunscreen-unapokuwa-unatumia-anti-aging-products/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on on that Topic: afroswagga.com/urembo/kwanini-unatakiwa-kutumia-sunscreen-unapokuwa-unatumia-anti-aging-products/ […]
… [Trackback]
[…] There you will find 67292 additional Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/kwanini-unatakiwa-kutumia-sunscreen-unapokuwa-unatumia-anti-aging-products/ […]