SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Kwanini Upake Vipodozi Kwa Mpangilio Maalum
Urembo

Kwanini Upake Vipodozi Kwa Mpangilio Maalum 

Inawezekana unavipodozi ambavyo vinafanyakazi vizuri tu lakini huoni matokeo mazuri katika ngozi yako, hii hutokana na sababu mbalimbali lakini sababu moja wapo ni kutokupaka vipodozi hivi kwa mpangilio mzuri.

Kutokana na ushauri wa wataalamu “Inatakiwa uanze kupaka vipodozi ambavyo ni light weight ( vyepesi) ili viweze kuingia vizuri kwenye ngozi bila ya kuwa na kikwazo kisha ndipo upake vile ambavyo ni vizito ( heavy). Mfano – kama unapaka mafuta ya nazi ya maji na cream basi unatakiwa uanze kupaka mafuta ya nazi ya maji kisha uje kupaka cream nzito.

Ili kuepuka kulundika vipodozi kwenye ngozi hakikisha unapopaka vile vyepesi unakaa dakika chache kisha ndipo upake vile vizito.

Related posts

3 Comments

  1. download private facebook video

    … [Trackback]

    […] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/urembo/kwanini-upake-vipodozi-kwa-mpangilio-maalum/ […]

  2. what is the definition of the drug ecstasy,

    … [Trackback]

    […] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/urembo/kwanini-upake-vipodozi-kwa-mpangilio-maalum/ […]

  3. buy rifles online

    … [Trackback]

    […] Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/kwanini-upake-vipodozi-kwa-mpangilio-maalum/ […]

Comments are closed.