SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Kylie Jenner Arudi Katika Lips Zake Za Kawaida
Urembo

Kylie Jenner Arudi Katika Lips Zake Za Kawaida 

Week imekatika na tumerudi makazini lakini kama kawaida huwa tunakuletea slayed or played za week zile habari kubwa kabisa za mitindo na urembo zilizo tokea weekend na week nzima kwa ujumla, oh well oh well we have to admit we didn’t see this coming Kylie Jenner ambae aliweka Lips Filler’s kwa kuzichukia lips zake kuwa ndogo mno ameamua kurudi katika lips zake za kawaida.

Let’s say she is loving her self in the way God created her ” self love “, Mwaka 2015 Kylie Jenner alikubali kwamba ameongeza lips zake na hii ni kutokana na kuwa insecure na lips zake za kawaida.

“I was 15 and I was insecure about my lips. I have really small lips. And it was like one of my first kisses and a guy was like, ‘I didn’t think you would be a good kisser because you have such small lips.’ But I took that really hard,” Jenner shared during an episode of her E! spin-off series, Life of Kylie.

“Just when a guy you like says that, I don’t know, it just really affected me. I just didn’t feel desirable or pretty. I really wanted bigger lips. I would overline my lips with lip liner just to create the illusion of bigger lips. And then finally I was like this lip liner isn’t doing it. [I] ended up getting my lips done,” she added.

We are happy kwamba ameamua kujipenda jinsi alivyo she is beautiful either way, well Kylie sio wa kwanza kufanya operation ya kuondoa fake implants, mwanamuziki K Michelle nae aliamua kutoa Butt Implants zake baada ya kuwa anaona zinamzidia uzito na kupata maumivu.

 

Well Afro Gang je ninyi mnaonaje huu muonekano mpya wa Kylie Slayed Or Played?

Related posts

7 Comments

  1. 168moonlight

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/urembo/kylie-jenner-arudi-katika-lips-zake-za-kawaida/ […]

  2. หนองใน

    … [Trackback]

    […] Read More on to that Topic: afroswagga.com/urembo/kylie-jenner-arudi-katika-lips-zake-za-kawaida/ […]

  3. Buy Albino Penis Envy Mushrooms For sale Perth

    … [Trackback]

    […] Here you will find 4967 additional Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/kylie-jenner-arudi-katika-lips-zake-za-kawaida/ […]

  4. buy benelli guns

    … [Trackback]

    […] Find More to that Topic: afroswagga.com/urembo/kylie-jenner-arudi-katika-lips-zake-za-kawaida/ […]

  5. helpful site

    … [Trackback]

    […] Find More here on that Topic: afroswagga.com/urembo/kylie-jenner-arudi-katika-lips-zake-za-kawaida/ […]

  6. organic turkey tail mushroom capsules

    … [Trackback]

    […] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/urembo/kylie-jenner-arudi-katika-lips-zake-za-kawaida/ […]

  7. water sounds

    water sounds

    water sounds

Comments are closed.