Watu wengi wanadhani kutumia vipodozi vya asili ni urembo wenye mchakato mrefu na mgumu lakini kama unaipenda ngozi yako naamini hautaona ugumu wa kuitunza kwa vipodozi vya asili.Jinsi ya kulainisha uso kwa nyanya na asali.
Chukua nyanya moja kubwa iliyoiva kisha imenye na kuisaga hadi iwe uji na kisha changanya asali na uji wako wa nyanya mpaka vichanganyike vizuri baada ya hapo acha kwa robo saa hadi ikauke kisha nenda kaoge.
Kausha uso vizuri na taulo safi na rudia hivyo mara mbili kwa wiki na utapata matokeo mazuri kwa ngozi ya uso ,na njia hii inawafaa zaidi wenye chunusi ,kwani huwasaidia katika matatizo kama hayo.
Related posts
5 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Here you can find 84579 more Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/lainisha-uso-kwa-nyanya-na-asali/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/urembo/lainisha-uso-kwa-nyanya-na-asali/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/lainisha-uso-kwa-nyanya-na-asali/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on on that Topic: afroswagga.com/urembo/lainisha-uso-kwa-nyanya-na-asali/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/urembo/lainisha-uso-kwa-nyanya-na-asali/ […]