SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Let Lavie Makeup Inspire You On Start Where You Are And Use What You Have
Urembo

Let Lavie Makeup Inspire You On Start Where You Are And Use What You Have 

Kama wewe ni mpenzi wa fashion & beauty lazima utakuwa umemsikia mwanadada Upendo Shuma a.k.a Lavie Makeup, Ni moja kati ya makeup artist wakubwa Tanzania, amesha fanya kazi na watu maarufu mbalimbali kama Wema Sepetu, Elizabeth Michael na wengine wengi.

Lavie ni inspiration kwa wengi, makeup artist wengi ukiwauliza nani ana wa-inspire hapa Nchini kwetu watamtaja Lavie na hii ni kutokana na kazi yake na mafanikio aliyoyapataka kutokana na kazi hii, lakini Lavie hakuanza tu na kuwa mkubwa au kuwa na mafanikio ana historia nyuma na hii ndio iliyotufanya leo tunamuandika kama Monday Motivator wetu

Tukiwa tumefanya na mohijiano nae Lavie amesema ” Lavie tulianza 2013, nilianza kujifunza mwenyewe through youtube nilikuwa naangalia a lot of youtube videos na hio ni baada ya kuwa nimechoshwa na kazi niliyokuwa nafanya but i had passion for this (makeup) since wayback. Kwahio ilivyofika i think end of 2012 or beginning of 2013 nikaamua kuanza as mobile, nilianza na family and friends nilikuwa na few products ambazo nilikuwa nazitumia mwenyewe na niakaanza na hizohizo na most of the times nilikuwa nawafanyia tu bure as fun so baadae nikaanza kupata positive response nikaanza kupata wateja mara mojamoja,nikaanza as mobile nikiwa ofisini, mtu ananipigia naenda namtengeneza”

“So ikaenda hivyo baadae nikaona kama inaingiliana na kazi yangu, sometimes nikipata mtu anataka nimuhudumie nashindwa nikaamua kuchukua unpaid leave, so ikaenda hivyo baadae nika quit kabisa kazi nikaanzisha ofisi ambayo ilikuwa a small room one small room nikaanza hapo na mtu mmoja ilikuwa, nikaanza kukua nikawa napata mastar, ma star wana advertise kazi yangu, watu wakaanza kunifahamu slowly by slowly. After one year tuka move by then ofisi yangu ilikuwa mikocheni tuka move from mikocheni to kijitonyama ambapo Kijitonyama ilikuwa a full house ambayo tulishare na mtu mwingine ambae alikuwa anauza magauni. So all that time nikawa naendelea na biashara ikaanza kukua, after a year o a year and a half nika move sasa from Kijitonyama to Mikocheni ambapo sasa Mikocheni ilikuwa ni ofisi nzima yaani ni nyumba nzima ambayo ni ofisi by that time tulikuwa tumeshakuwa sana kutoka kuwa watu wawili mpaka kufikia 12-13 people”

Well hivyo ndivyo Lavie alianza na kwa kujifundisha online kuangalia youtube, akaanza na marafiki na familia yake baadae akaja kukua mwaka jana Lavie alitajwa katika gazeti la Forbes 30/30 Young Africa Enterprenuers ukiachana na kutajwa na gazeti hilo sasa hivi Lavie ana own kampuni yake ya vipodozi ya Lavie Cosmetics ambapo kuna Lavie Eyelashes, Lavie Bowtastick and Lavie Eyeshadow Pallete iitwayo Reign Noir

Lavie Lashes

Lavie Bowstatick

Lavie eyeshadow pallete

Unaweza kumuangalia zaidi hapa @LavieMakeup na kujua kuhusu Lavie Cosmetics hapa @Laviecosmetics_tz

 

 

Related posts