SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Let The Kardashian Inspire You On Your Valentine Makeup Look (Red Lips)
Make Up

Let The Kardashian Inspire You On Your Valentine Makeup Look (Red Lips) 

Linapokuja swala la mitindo na urembo wengi wanaiangalia hii Familia ya The Kardashian, ambapo ukiachana u-reality star wao wadada hawa wanajishughulisha na uanamitindo, kuuza mavazi lakini pia kuuza makeups na vitu vya urembo. Mwaka jana mtoto wa mwisho katika Familia yao Kylie Jenner alitajwa kuwa  Self Made Billionea kutokana na brand yake ya Kylie Cosmetics.

Ikiwa valentine day inakaribia tukaona tuwaletee namna ambavyo wanadada hawa wamepaka makeup zao na red lipstick, kama ungependa kupaka red lipstick siku hii get inspired

Kim Kardashian ame introduce lipstick collection zake kwa ajili ya Valentine na katika photoshoot ya lipstick hizo Kim Kardashial alipaka hii red lipstick, akiwa ame match na kucha zake huku akiwa na bang hair style and well done eyebrows & eye shadow, unaweza kuwa inspired with this look kwenye siku ya valentine kama unatoka usiku ni perfect choice. 

Wakati mama yao Kris Jenner yeye ametupa more of a sexy casual look, unaweza kupaka hii makeup ukiwa unaenda kazini, yeye amekuwa minimum na makeup machoni, eye brows zimepakwa vizuri na her pixie cut hair style akamalizia na red lipstick perfect for work.

Wakati Kourtney yeye alirock sleek  wrapped low knot hairstyle, kufanya sura yake ionekane vizuri kabisa yeye pia hakuwa na mambo mengi husoni ameacha lipstick iongee, unaweza kwenda na huu muonekano kwenye date night.

Kylie yeye aliamua kuwa a bit extra with wave hair style, well done winged eyeliner akamalizia na red lipstick, a perfect look kwa ajili ya mitoko ya usiku.

Well look ipi ime ku-inspire kati ya hizi?

Related posts

2 Comments

  1. Buy DMT Vape Pen and Cartridges Victoria

    … [Trackback]

    […] Here you can find 22812 more Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/let-the-kardashian-inspire-you-on-your-valentine-makeup-look-red-lips/ […]

  2. visit here

    … [Trackback]

    […] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/urembo/let-the-kardashian-inspire-you-on-your-valentine-makeup-look-red-lips/ […]

Comments are closed.