SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Limao Sukari Na Mafuta Ya Nazi Kwa Mikono Laini
Skin Care

Limao Sukari Na Mafuta Ya Nazi Kwa Mikono Laini 

Viganja vya mikono kuwa vigumu ni kutokana na kufanya kazi mbalimbali, Kusgua masufuria, kushika mikaa, kubeba vitu vizito na kazi nyingine mbalimbali, kwa wanaume kuwa na mikono migumu si big deal maana wenyewe wanasema uanaume ni ukakamavu lakini kwa wanawake ni tofauti hawataki kusikia swala la wao ni wagumu. Wengine hata kutoa salamu na mkono hawataki kisa tu wanahisi wataonekana na mikono migumu, well ondokana na hii hadha kwa kufanya hivi ukiwa nyumbani kama weekend au wakati wowote upatapo muda.

Mahitaji

Sukari – Vijiko viwili vya chai

almoind skin care oil – vijiko viwili (unaweza kutumia mafuta ya nazi)

Kijiko kimoja cha vipande vya ganda la limao vilivyo kwanguliwa

Namna Ya Kufanya

 

Changanya mahitaji yako katika kibakuli,chukua kiasi na anza kupaka (kusugua) katika vganja vyako fanya hivyo kwa muda mpaka utakapo ridhika na matokeo, kisha osha mikono yako na chukua mafuta ujipake ilimikono yako isiwe mikavu. Unaweza kuhifadhi mabaki ya mchanganyiko wako katika fridge na kutumia tena pale utakapo hitaji kutumia.

Soma hapa namna ya kulainisha miguu

 

Related posts

3 Comments

 1. read review

  … [Trackback]

  […] Read More here on that Topic: afroswagga.com/urembo/limao-sukari-na-mafuta-ya-nazi-kwa-mikono-laini/ […]

 2. เด็กเอ็น

  … [Trackback]

  […] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/urembo/limao-sukari-na-mafuta-ya-nazi-kwa-mikono-laini/ […]

 3. Leverage

  … [Trackback]

  […] Read More to that Topic: afroswagga.com/urembo/limao-sukari-na-mafuta-ya-nazi-kwa-mikono-laini/ […]

Comments are closed.