SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

LIPSTICK TREND 2016
Urembo

LIPSTICK TREND 2016 

Ikiwa mwaka 2015 bold lipstick ndo zilitamba sana zikiwemo nyeusi, zambarau, nyekundu iliyo kwiva na damu ya mzee mwaka 2016 una tabiriwa kuwa wa namna yake kwa maana lipstick hizi zina semekana zina shika trend kwa mwaka huo.

Ikiwa Nude na Ombe zimeanza kushika chat mwaka huu mwishoni ina wezekana tukavuka nazo mwaka mpaka 2016 na trend ya nyeupe na dhahabu itaanzia huko pia. nunua zako mapema kabla hazija panda bei.

$_1

nudee080439f544263084a1562971ee2a9f2

 

nyeupeOmbre-lips-Inspiration-17

 

ombre

prada-spring-2016-gold-lips-3-w724

Dhahabu

Related posts

2 Comments

  1. Liberty Caps Mushroom

    … [Trackback]

    […] Find More here on that Topic: afroswagga.com/urembo/lipstick-trend-2016/ […]

  2. toronto weed delivery

    … [Trackback]

    […] Read More to that Topic: afroswagga.com/urembo/lipstick-trend-2016/ […]

Leave a Reply