SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

LISSA JENSEN NA JOKATE MWEGELO IN FAUX LOCKS
Hair

LISSA JENSEN NA JOKATE MWEGELO IN FAUX LOCKS 

Lissa Jensen ni Miss Tanzania 2012 wakati Jokate Mwegelo ni Miss Tanzania no 2 mwaka 2006, wawili hawa wana sifa kadha wa kadha zinazo endana kama kuwa humbled na wote ni fashion lovers, kwa leo wote wawili wame onekana kuvutiwa na hii hair style inayo trend kwa sasa iitwayo faux lock, ambazo ni rasta zinazo sukwa muonekano wake una onekana kama natural dread

Lissa ame fanyia photo shoot hizi nywele and she looks so gorgeous in them, make up ime tulia.

15034678_224772231286116_1285368198547374080_n 15047041_1089325151165049_7438151008913457152_n

Jokate ame suka halafu aka weka curly tume penda jinsi alivyo jitofautisha

15034911_637235833103080_8978569324868403200_n 15056793_764688507004807_2819945054037082112_n

Related posts