SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Liwa Na Faida Zake Katika Urembo
Skin Care

Liwa Na Faida Zake Katika Urembo 

Mmea wa liwasili yake ni nchini India na huko ndiko unapendwa na kutumika sana .Kwa hapa n Tanzania mti huu tunauita ‘Mliwa’ ambapo leo tunauangazia faida zake mbalimbali katika  tiba, una faida katika tiba mbalimbali lakini leo tunaongelea kuhusu urembo, ni faida gani mmea huu unaupa ngozi yako lakini pia namna gani ya kuutumia kupata faida hizo.

Kuondoa Chunusi na madoa myeusi

 • Mahitaji

Unga wa liwa – kijiko kimoja

Unga wa Manjano – nusu kijiko

Maziwa au maji – vijiko viliwi

 • namna ya kufanya 

Changanya vyote katika kibakuli na upate ujiuji wa mchanganyiko wako, kisha acha mchanganyiko huu kwa muda wa dakika 30 na uoshe kwa maji masafi, inashauriwa baada ya kupaka liwa utopaka kitu kingine usoni ikiwemo poda, krimu kwa kuwa ukipata vitu hivyo wakati wa usiku vitundu vya ngozi huziba na kushindwa kuingiza hewa vizuri mwilini na hivyo kusababisha ngozi kusinyaa na kukosa hewa.

Kwa Ngozi Nyororo

Paka essential oil ya liwa usiku na u-massage kwa muda kisha lala nayo mpaka asubuhi na uoshe uso wako kwa maji ya vuguvugu

Kuondoa Mikunjo ya Uzee 

 • Mahitaji

Liwa – kijiko kimoja

rose water – nusu kijiko

aloevera gel – kijiko kimoja

 • Namna Ya Kufanya 

Changanya mchanganyiko wako katika kibakuli na upake usoni kwa dakika kumi na tano, kisha osha mchanganyiko huu kwa maji ya baridi, Liwa haichubui uso wala kukufanya uwe mweupe bali liwwa inakufanya kuwa na ngozi yenye kung’ara zaidi na kukuweka katika hali ya kupendeza wakati wote

Kwa Ngozi Kavu

 • Mahitaji

Liwa  – kijiko kimoja

Aloevera gel – nusu kijiko

Asali – nusu kijiko

 • Namna Ya Kufanya 

Changanya mchanganyiko wako katika kibakuli na kisha upake usoni na kukaa nao kwa dakika 20 kisha uoshe uso wako kwa maji masafi, fanya hivi mara moja kwa wiki ili kupata matokeo mazuri.

Kwa Ngozi Yenye Mafuta 

 • Mahitaji

Liwa – Kijiko Kimoja

Rose Water –  Nusu Kijiko

 • Namna Ya Kufanya 

Changanya mahitaji yako katika chombo, kisha paka mchanganyiko wako na ukae nao kwa dakika 30 kisha uoshe kwa maji ya baridi.

Liwa hupakwa bila kujali kuwa mhusika ni mweusi au mweupe kifupi haichagui kwa kuwa ni kwa ajili ya kung’arisha tu na wala si ya kujichubua, liwa inaweza kupakwa kutwa ara mbili au hata zaidi kwa kuwa haina madhara yoyote katika ngozi ya binadamu zaidi ya kuiweka ngozi kuwa katika hali nzuri zaidi.

 

Related posts

6 Comments

 1. polkadot mushroom bar online

  … [Trackback]

  […] Find More on that Topic: afroswagga.com/urembo/liwa-na-faida-zake-katika-urembo/ […]

 2. Buy Psychedelics Melbourne

  … [Trackback]

  […] Here you can find 13155 additional Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/liwa-na-faida-zake-katika-urembo/ […]

 3. Uk Adult Cams

  … [Trackback]

  […] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/urembo/liwa-na-faida-zake-katika-urembo/ […]

 4. Albino penis envy mushrooms

  … [Trackback]

  […] Read More on that Topic: afroswagga.com/urembo/liwa-na-faida-zake-katika-urembo/ […]

 5. Gun SHOP USA

  … [Trackback]

  […] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/urembo/liwa-na-faida-zake-katika-urembo/ […]

 6. magna tiles

  … [Trackback]

  […] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/urembo/liwa-na-faida-zake-katika-urembo/ […]

Comments are closed.