Inaonekana trend kubwa kwa sasa ni kusukia rasta ambazo ni ndefu mpaka chini tunaposema chini tunamaanisha zinagusa ardhi. Mwaka 2017 tulimuona mwanadada Nicki Minaj ambapo yeye alisumia rasta ndefu hivi katika video ya motor sport. Nicki alisema ilimchukua masaa 36 kusuka nywele hizi ambapo hii ni sawa na siku moja na masaa kumi na mbili.
Well mwanzoni mwa mwaka huu tulimuona mwanadada Ciara ambae yeye alisuka rasta hizi katika magazine cover ya fault magazine, alisukia styles mbalimbali na hii ilikuwa moja wapo.
Wakati mwanadada Lulu Diva alidrop new pictures katika mtandao wa Instagram na yeye akiwa amesukia aina hio hio ya rasta huku akiwa amevalia body suit na statement accessories well its a lewk.
Huku ingizo jipya katika familia ya wasafi Zuchu nae tulimuona akiwa amesukia rasta hizi huku yeye akiwa amesukia kama mwanadada Nicki Minaj style ambayo inaitwa formation braids.
Well tungependa kujua afromates je unaweza kusuka mtindo huu wa nywele? tupe maoni yako kupitia katika account zetu katika mitandao ya kijamii
Instagram – @afroswagga
Related posts
HOT TOPICS
Happiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/VZ1jH2zJUg
FollowHappiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/689j7Yjcn0
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
Feza Kessy Atuelezea Kuhusu Fashion & Style Zake
Feza Tadei Kessy ni Muimbaji, Muigizaji lakini pia ni mtunzi wa nyimbo lakini pia Fezza ni former beauty queen ambapo mwaka 2005 alikuwa Miss Dar City Centre, Miss Ilala & Miss Tanzania Runner up. Lakini pia alishawahi kuwepo katika Reality Tv Show – Big Brother Africa. Kwa…