SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Lupita Nyongo Awakilisha Kabila La Amasunzu Kutoka Rwanda Katika Tuzo Za Oscar 2018
Hair

Lupita Nyongo Awakilisha Kabila La Amasunzu Kutoka Rwanda Katika Tuzo Za Oscar 2018 

Kuna msemo unaotumika sana katika social networks hasa kwa wa Africa, wakifanya kitu kizuri wanasema “I did it for the culture”  basi tunaweza kusema Lupita Nyong’o did this for the culture, Usiku wa kuamkia leo kulikua na hafla ya Tuzo za Oscars ambapo muigizaji Lupita kutoka Kenya alikuwepo pia.

Lupita aliattend hafla hii akiwa amevalia gold & Bback dress kutoka kwa Atelier Versace, Lupita amemalizia muonekano wake na open heels nyeusi huku akiwa amebeba clutch ya gold. 

 

Katika urembo wa sure, she did a simple makeup as usual lakini tulicho kipenda zaidi ni yeye kuiwakilisha Africa kwa kutumia hair style aliyo iweka siku hio ambayo mwenyewe amesema imekuwa inspired na kabila la Rwanda liitwalo Amasunzu,

Style hii inavaliwa na jinsia zote za kike na kiume lakini kwa hair stylist wake Vernon François ame ongezea modern touch katika hii hair style na kuipa glamour look kwa kuongezea  gold thread meandering katika hair style hio

Kupitia Ukurasa wake wa Instagram Lupita amepost hii video na ku-make sure kila mtu anajua inspiration ya hair style yake imetoka wapi

Lupita made it easy kwa wengine ku-follow this are small things that matters katika ku-introduce vya kwetu katika Dunia, Hail Hail Hail to Lupita,

Related posts

4 Comments

 1. Adult Cams Uk

  … [Trackback]

  […] Find More to that Topic: afroswagga.com/urembo/lupita-nyongo-awakilisha-kabila-la-amasunzu-kutoka-rwanda-katika-tuzo-za-oscar-2018/ […]

 2. 비사업자단말기

  … [Trackback]

  […] There you can find 59910 more Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/lupita-nyongo-awakilisha-kabila-la-amasunzu-kutoka-rwanda-katika-tuzo-za-oscar-2018/ […]

 3. 다시보기

  … [Trackback]

  […] There you can find 37248 additional Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/lupita-nyongo-awakilisha-kabila-la-amasunzu-kutoka-rwanda-katika-tuzo-za-oscar-2018/ […]

 4. Buy High Quality Marijuana Edibles Online

  … [Trackback]

  […] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/urembo/lupita-nyongo-awakilisha-kabila-la-amasunzu-kutoka-rwanda-katika-tuzo-za-oscar-2018/ […]

Comments are closed.