SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Maana Ya Rangi Nyeusi Ya Kucha
Urembo

Maana Ya Rangi Nyeusi Ya Kucha 

Rangi ya kucha nyeusi imekua ikitrend kwa muda mrefu sasa, most of us tunapenda kuipaka kutokana na kwamba unaweza kuvaa chochote na rangi hii lakini pia ukaingia popote bila kuleta minon’gono. Lakini rangi hii ya kucha ina maanisha nini?

Mwanadada au mtu yoyote anaye paka rangi hii ana tambulika kama mtu mwenye kujiamini na pia ni mbunifu, japo wengi huwa wanapaka rangi hii kutokana na kukosa rangi ya kupaka ni ni rahisi kupatikana.

Kama tulivyo sema mwanzo unaweza kuipaka na ukaingia popote ina fit, kazini, harusini, kwenye mitoko ni neutral color. and we love it for that.

lakini ukipaka rangi hii pia unaonekana chic and fashionable, kama utaipaka na kuvaa vizuri rangi hii inaweza kuwa sexy and edgy lakini pia inaweza kuwa classy na sophisticated.

Tips za jinsi unaweza kuvaa rangi hii kwa faida yako,

  • usivae rangi nyeusi
  • vaa simple accessories acha black nail polish ndio iwe main accessory yako
  • rangi nyeusi inapendeza zaidi katika kucha fupi na size ya kati,katika kucha ndefu inatisha.
  • rangi nyeusi ina attract attention unahitajika kuwa na confidence, kama unaaibu au hutaki kuattract attention usipake hii rangi.

photo credits @lavy_products

kujua kuhusu rangi ya midomo nyekundu click hapa

 

 

Related posts

4 Comments

  1. Plantation Shutters

    … [Trackback]

    […] Find More to that Topic: afroswagga.com/urembo/maana-ya-rangi-nyeusi-ya-kucha/ […]

  2. click over here now

    … [Trackback]

    […] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/urembo/maana-ya-rangi-nyeusi-ya-kucha/ […]

  3. mushroom dispensary in tampa

    … [Trackback]

    […] Read More on on that Topic: afroswagga.com/urembo/maana-ya-rangi-nyeusi-ya-kucha/ […]

  4. ทัวร์หลีเป๊ะ

    … [Trackback]

    […] There you can find 77531 additional Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/maana-ya-rangi-nyeusi-ya-kucha/ […]

Comments are closed.