Kumi la mwisho limeingia, shamla shamla za Eid zimeanza. Wafanya Biashara Wameanza Kuleta Bidhaa Kutoka Sehemu Mbalimbali Ndani au Nje Ya Nchi, Vitu Vimepanda Bei Kwa Kua Kila Mtu Anataka Kusherehekea Eid Kinamna Yake.
Kwa Upande Wa Kina Mama Na Kina Dada Huu Ndio Wakati Wa Kujiandaa Na Henna Na urembo wa kila aina kama Bangili,mikufu na Hereni, Wauzaji Urembo Na Henna Wanasema Msimu Huu Hizo Bidhaa Zinatoka Zaidi. Zinanunuliwa Kama Zawadi Au Hata kwa Matumizi Binafsi Kwa Ajili Ya Sikukuu.
Bangili Za Dhababu Zinauzwa Kwa Bei Ghali Zaidi Katika Msimu Huu Pia Bangili Za Lulu, Almasi, Ming’aro Na Za Vito Vinauzwa Kwa Bei Ghali Zaidi Katika Msimu huu
Bangili Za Almasi Zenye Vito Na Zisizo Na Vito Pia Zina Soko Kubwa Katika Msimu Huu Wa Eid
Bangili Zenye Vito Pia Zinapendwa Zana Na Kina Mama Na Wasichan Katika Kipindi Hiki Cha Eid
Kinamama Pia Wana Panga Foleni Saloon Kwa Ajili Ya Kupaka Henna, Wengi Husema Eid Si Eid Bila Henna
Related posts
HOT TOPICS
We need to have some sort of bima ila for enjoyment. Yaani wanakata ka % ka mshahara kako unakua na card ukienda se… https://t.co/W9oDoaN2YY
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…