SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

MAANDALIZI YA UREMBO KABLA YA HARUSI
Dondoo

MAANDALIZI YA UREMBO KABLA YA HARUSI 

Mabibi harusi wengi hutumia muda mwingi kufikiria kuhusu ngozi zao na kusahau mambo mengine ambayo pia ni ya muhimu

Nywele: mabibi harusi wengi hasa wa Afrika huwaga wana sahau kabisa swala la nywele, utasikia ntashonea weaving au nita suka rasta mitindo imekua ile ile kila siku tunacho sahau ni kwamba unaweza kutumia nywele zako za asili na ukapendeza unacho takiwa kufanya ni miezi kadhaa kabla ya harusi uanze kuzijali nywele zako, kula vizuri, zioshe, tumia mafuta mazuri ya nywele na zipumzishe na makoro koro yoyote ambayo yanaweza kuziharibu ili siku ya harusi ikifika nywele zako ziwe na afya nzuri.

Macho: ni vizuri siku kadhaa kabla ya harusi uka jaribu kupumzika vyema, ili macho yasivimbe, tunajua maandalizi ya harusi yana chosha zinaweza zikapita siku usilale ukifanya maandalizi ili tu pale ifikapo siku ya siku kila kitu kiwe sawa, lakini haito kuwa vizuri siku ikifika macho ya bibi harusi yame vimba hata make up hazito kaa vizuri.

f5bb698f-abcd-4e13-8374-5085cfe27530~rs_768.h

Mwili: utahitajika ku maintain mwili wako usiongezeke wala usipungue hii ni kutokana na kwamba kama umesha pima na kushonesha gauni basi kama ukiongezeka litakubana au kugoma kuingia na ukikonda lita pelea ni vizuri ukala vizuri, uka fanya mazoezi ili ku maintain mwili wako ifikapo siku ya harusi usiwe na mabadiliko makubwa.

Ngozi: hapa maarusi wengi wa ki afrika huwa wana jichubua waonekane weupe hii sijui hutokana na nini, ni vizuri ukawa na ngozi yako ile ile ila jitaidi tu iwe laini, yenye afya na inayo vutia mbele ya macho ya watu si vizuri kuingia katika ukumbi wa harusi halafu wageni waalikwa waanze kunyoosheana vidole kwamba si alikua mweusi huyu mbona kawa mweupe hivi, haileti picha nzuri.

Related posts

4 Comments

  1. Best Psychedelic Store Australia

    … [Trackback]

    […] There you will find 80379 more Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/maandalizi-ya-urembo-kabla-ya-harusi/ […]

  2. assistência informática

    … [Trackback]

    […] Read More on to that Topic: afroswagga.com/urembo/maandalizi-ya-urembo-kabla-ya-harusi/ […]

  3. mad river melts https://exotichousedispensary.com/product-tag/mad-river-melts/

    … [Trackback]

    […] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/urembo/maandalizi-ya-urembo-kabla-ya-harusi/ […]

  4. carteloil

    … [Trackback]

    […] Find More on to that Topic: afroswagga.com/urembo/maandalizi-ya-urembo-kabla-ya-harusi/ […]

Leave a Reply