SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mafuta Gani Utumie Endapo Una Ngozi Ya Mafuta
Skin Care

Mafuta Gani Utumie Endapo Una Ngozi Ya Mafuta 

Bado kuna mnganyiko katika akili ya mwanamke kama wewe mwenye ngozi ya mafuta au wengine kama wanavyopenda kuiita  “kitumbua” ambae unasumbuliwa na chunusi nyingi sana na bado unajiuliza jee ni sawa kupaka mafuta usoni na ngozi yako ni ya mafuta. Inaweza ikakushtua kusikia kuwa kama una ngozi ya mafuta na upake mafuta zaidi hasa kama una chunusi za kupitiliza.

kitu cha kuweka akilini, Uchunguzi unaonyesha kuwa wenye ngozi ya mafuta na wenye chunusi nyingi wana kiwango kikubwa cha oleic acid na kiasi kidogo cha linoleic acid. 


Hivyo basi mafuta yanaweza kukusaidia kupunguza na kuponyesha chunusi zako kabisa jambo la kuzingatia ni kutumia mafuta ambayo yana kiasi kikubwa cha linoleic acid na kiwango kidogo cha oleic acid ili upate matokeo bora zaidi. 


Na mafuta yenye sifa hizo ni

 1. Rosehip Oil

 2. Jojoba Oil 

3. Hemp seed oil

 4. Squalene Oil5.

Safflower

 6. Evening Primrose Oil

7. Preakily Pear Seed Oil 

8. Grapeseed Oil

9. Borage Seed Oil

10. Mineral Oil.

11. Marula Oil

12. Tea tree Oil


Muhimu sana utafute  cold pressed oil ambayo hayajaongezewa vitu vya ziada utapata virutubisho zaidi na ndio haya yanafaa kutumika kwenye ngozi. Cold press oil ni mafuta ambayo yanapatikana kwa kukamua mbegu husika ikiwa bado ina virutubisho vyake na haina nyingeza nyingi ya vitu.


Jee umewahi kutumia mafuta yoyote kati ya hayo na matokeo yake yalikuwaje?


©️binturembo

Related posts

2 Comments

  1. Sexy Baccarat

    … [Trackback]

    […] There you will find 10304 additional Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/mafuta-gani-utumie-endapo-una-ngozi-ya-mafuta/ […]

  2. Event booth builder

    … [Trackback]

    […] Find More to that Topic: afroswagga.com/urembo/mafuta-gani-utumie-endapo-una-ngozi-ya-mafuta/ […]

Comments are closed.