SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mafuta Unayohitaji Kupunguza Kukatika Kwa Nywele
Urembo

Mafuta Unayohitaji Kupunguza Kukatika Kwa Nywele 

Kukatika kwa nywele kunaathiri wanaume na wanawake kwaujumla, hali hii haichagui jinsia. Kukatika kwa nywele kunaweza kukupa stress hasa kama wewe ni mpenzi wa nywele zako, kuna ambao hawaoni shida kuzikata ziote upya lakini kuna ambao wanatafuta nini wafanye kudhibiti hali hii.

Kuna sababu mbalimbali zinazosababisha nywele kukatika

Kuna mafuta ya asili ambayo yanaweza kudhibiti hali hii nayo ni:

 • Olive Oil

Olive oil natural conditioner ambayo husaidia kufanya nywele zako ziwe soft, lakini pia ni mafuta mazuri katika kupigana na mba pamoja na kufanya nywele zako zing’ae.

 • Castor Oil

Castor Oil husaidia katika mzunguko wa damu, Kufanya nywele zako kuwa na afya pia hupunguza ukatikaji wa nywele na ku-repair nywele zilizo haribika na moto au madawa.

 • Coconut Oil

Mafuta ya nazi husaidia kuzipa nywele zako unyevu, kuondoa kujifungafunga kwa nywele (kipilipili), pia hufanya nywele zako kung’aa

 • Sesame Oil

Mafuta ya sesame yanasaidia katika kuzipa nywele ugumu na kufanya zisikatike kwaurahisi, yanaboost ukuaji wa nywele na pia kuzuia mvi.

Well kama unatatizo hili jaribu kutumia mafuta haya na uje kutupa ushuhuda.

Related posts

4 Comments

 1. สล็อตออนไลน์

  … [Trackback]

  […] Find More to that Topic: afroswagga.com/urembo/mafuta-unayohitaji-kupunguza-kukatika-kwa-nywele/ […]

 2. ufabet365

  … [Trackback]

  […] Find More to that Topic: afroswagga.com/urembo/mafuta-unayohitaji-kupunguza-kukatika-kwa-nywele/ […]

 3. 티비위키

  … [Trackback]

  […] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/urembo/mafuta-unayohitaji-kupunguza-kukatika-kwa-nywele/ […]

 4. Mushroom Golden Teacher

  … [Trackback]

  […] Here you can find 94862 more Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/mafuta-unayohitaji-kupunguza-kukatika-kwa-nywele/ […]

Comments are closed.