SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Maji Ya Nazi Yanasaidia Kufanya Ngozi Iwe Na Unyevu
Skin Care

Maji Ya Nazi Yanasaidia Kufanya Ngozi Iwe Na Unyevu 

Nazi ni moja ya tunda linalo dharauliwa na wengi hawalichukulii serious lakini lina msaada kubwa sana katika afya na urembo, moja kati ya faida kubwa ya maji ya nazi ni kufanya ngozi kavu kuwa na unyevu.

Anza siku yako kwa kunywa glass ya maji ya madafu au maji ya nazi,katikati ya siku kunywa maji ya kawaida lakini pia kula vyakula ambavyo vinaongeza maji mwilini kama avocado,olives na nazi. kufanya hivi kila siku kutakufanya ngozi yako iwe nyevu wakati wote. Lakini pia unaweza kutumia kama face mask

Utahitaji :

 • Vijiko viliwi vya maji ya nazi
 • nusu kijiko cha maji ya limao
 • kijiko kimoja cha asali

Namna Ya Kufanya:

 • changanya mahitaji yako katika bakuli au kikombe
 • paka usoni na u-massage kidogo kisha kaa nao mchanganyiko wako kwa dakika 30, osha kwa maji ya baridi

Unaweza kufanya hivi mara tatu kwa week kwa matokeo bora zaidi, lakini pia kama una ngozi kavu usiweke limao, limao lina asili ya

 

 

Related posts

3 Comments

 1. แทงบอลออนไลน์

  … [Trackback]

  […] Read More here to that Topic: afroswagga.com/urembo/maji-ya-nazi-yanasaidia-kufanya-ngozi-iwe-na-unyevu/ […]

 2. Buy Changa DMT online New South Wales

  … [Trackback]

  […] Here you can find 69459 additional Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/maji-ya-nazi-yanasaidia-kufanya-ngozi-iwe-na-unyevu/ […]

 3. We Talk Business

  … [Trackback]

  […] Find More on on that Topic: afroswagga.com/urembo/maji-ya-nazi-yanasaidia-kufanya-ngozi-iwe-na-unyevu/ […]

Comments are closed.