SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Maji Yapi Yanafaa Kuoshea Uso Wako?
Urembo

Maji Yapi Yanafaa Kuoshea Uso Wako? 

Kuosha uso kunawezekana kuonekana kama ni jambo rahisi ( Yes Ni Jambo Rahisi) Lakini kuuosha ipasavyo hapo ndipo ugumu unapokuja. Kuuosha uso wako ipasavyo ndio fungo ya kupata ngozi yenye afya na nyororo.

Ukiachana na kuosha uso wako mara mbili, kujua namna unapaswa kuosha uso wako ilingozi isishuke (sagging skin) ni vyema pia kujua ni maji gani yanafaa kuoshea uso wako

 • Maji Ya Baridi

Maji ya baridi haya huwa hayamalizi kutoa vipodozi vyema usoni, ni mazuri kwa kufanya ngozi yako isishuke (sagging), yana promote blood circulation na kufanya ngozi yako ing’ae lakini pale unapotoka kuosha uso kuondoa uchafu hayafai sana.

 • Maji Ya Moto

Maji ya moto sana yanawezakusababisha ngozi yako kuwa kavu na kusababisha miwasho

 • Maji ya uvuguvugu

Haya ni maji sahihi kuoshea uso wako, yanaondoa uchafu vyema lakini pia yanasaidia kuhifadhi mafuta yako ya asili ya ngozi.

Related posts

5 Comments

 1. marijuana dispensary

  … [Trackback]

  […] Read More to that Topic: afroswagga.com/urembo/maji-yapi-yanafaa-kuoshea-uso-wako/ […]

 2. Cheap DMT for sale Melbourne

  … [Trackback]

  […] Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/maji-yapi-yanafaa-kuoshea-uso-wako/ […]

 3. all slot auto wallet

  … [Trackback]

  […] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/urembo/maji-yapi-yanafaa-kuoshea-uso-wako/ […]

 4. 티비위키

  … [Trackback]

  […] Read More to that Topic: afroswagga.com/urembo/maji-yapi-yanafaa-kuoshea-uso-wako/ […]

 5. interieur ontwerp Aalten

  … [Trackback]

  […] Read More to that Topic: afroswagga.com/urembo/maji-yapi-yanafaa-kuoshea-uso-wako/ […]

Comments are closed.