Ime kuwa mara nyingi wanaume wame sikika wakisema “una jifanya mzuri wakati ni make-up zimekusaidia” Hii ime sababisha maswali vichwani mwetu Je ni kweli make-up ina fanya wanawake wawe wazuri?
Haikua rahisi kupata jawabu kwa sababu fikra zilikua zina gongana kuna wanawake wakipaka make-up wana badilika kabisa ile asilia yao na kuna wengine wana chukiza.
Lakini si kweli kwamba make-up ina fanya wanawake wawe wazuri HAPANA, make-up iana ainisha uzuri wa mwanamke yaani kama ange kuwa hana chunusi au ngozi yake ingekua kama hio make-up aliyo ipaka basi ndio ambavyo muonekano huo ange kua anaonekana nao kila siku.
Kazi ya make-up ni kuziba zile kasoro ndogo ndogo zilizopo kama chunusi,mafuta, makovu nk, visinge kuwepo basi huyo mwanamke ndio muonekano wake unge kua mzuri kiasi hiko. Make up haibadilishi sura yako na kukupa uzuri La Hasha bali inaainisha uzuri wako kama tu vitu kadhaa vingekuwepo na vingine visinge kuwepo.
Inajulikana wanaume wengi wanapenda wanawake naturally kwa kuogopa wanaopaka make up ni wabaya wanapaka make-up kuficha ubaya wao lakini tunaweza kusema wanakosea mno, Make-up haimpi mtu uzuri bali ina onyesha uzuri wake endapo vitu Fulani vingekuwepo.
Related posts
8 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/make-up-ina-ainisha-uzuri-wa-mwanamke/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 54027 more Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/make-up-ina-ainisha-uzuri-wa-mwanamke/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/make-up-ina-ainisha-uzuri-wa-mwanamke/ […]
… [Trackback]
[…] Here you can find 43843 more Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/make-up-ina-ainisha-uzuri-wa-mwanamke/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/urembo/make-up-ina-ainisha-uzuri-wa-mwanamke/ […]
… [Trackback]
[…] Find More here to that Topic: afroswagga.com/urembo/make-up-ina-ainisha-uzuri-wa-mwanamke/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/make-up-ina-ainisha-uzuri-wa-mwanamke/ […]
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/urembo/make-up-ina-ainisha-uzuri-wa-mwanamke/ […]