SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Make Up Looks From Wema Sepetu, Anjella, Zuchu & Others
Urembo

Make Up Looks From Wema Sepetu, Anjella, Zuchu & Others 

Kama kuna sekta tupo proud nayo kwa sasa ni sekta ya Makeup, makeup artist wanajituma sana kuhakikisha wateja wao wanaendana na makeup zao sio kama zamani mtu mweusi anapakwa makeup ya mtu mweupe.

Well last week tumewaona watu maarufu mbalimbali wakiwa wamepakwa makeup na makeup artist mbalimbali na tukazipenda.

Tumemuona Rosa Ree akiwa ame-tuserve na African Mama Inspired look akiwa amepakwa makeup yake nzuri kabisa with a statement lipstick. Wema Sepetu yeye aliamua kutupeleka Bollywood akiwa amevalia Indian outfit na makeup yake nzuri iliyoendana na outfit. Lakini pia tulimuona mtangazaji kutoka wasafi Aaliyah yeye aliamua kutupa a statement eye shadow situation huku akimalizia na nude lipstick.

Lakini pia kulikuwapo na wanamuziki Anjella we love this look on her, tungependa awe hivi kila siku. Mimi Mars served in a neat nude makeup look, wakati Zuchu nae hakuwa mbali na yeye akiwa na nude makeup huku akimalizia muonekano wake na statement accessories

well tuambie ni makeup ya nani imekuvutia zaidi.

Related posts

3 Comments

 1. Magic Mushroom Chocolate Bar

  … [Trackback]

  […] Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/make-up-looks-from-wema-sepetu-anjella-zuchu-others/ […]

 2. psychedelic mushroom chocolate bars for sale

  … [Trackback]

  […] Read More to that Topic: afroswagga.com/urembo/make-up-looks-from-wema-sepetu-anjella-zuchu-others/ […]

 3. wapjig.com

  … [Trackback]

  […] Read More on on that Topic: afroswagga.com/urembo/make-up-looks-from-wema-sepetu-anjella-zuchu-others/ […]

Comments are closed.