SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Makeup Artist 3 Wa Kutumiwa Na Bongo Movies
Make Up

Makeup Artist 3 Wa Kutumiwa Na Bongo Movies 

Wakati tukifanya process za kuimarisha movies zetu zionekane bora katika msingi wa picture kuwa nzuri na story kueleweka tunadhani ni wakati sahihi pia wa kushirikisha watu sahihi katika ku-style mavazi na makeup.

Kama mpenzi wa movies utajua kwa sasa huko kwa wenzetu wanatilia mkazo sana katika mionekano yao na movie nyingi kwa sasa zinahusisha event za fashion, mfano mzuri ni movie ya Ocean 8 ambayo mwanamuziki Rihanna ameact ndani yake kuna event ya fashion kubwa ambayo hufanyika kila mwaka huko marekani.

Lakini kuna movie nyingine nyingi kama Be My May Be, na hata ambazo zile ambazo hazihusishi event hizi mavazi yao yapo vizuri pamoja na makeup. Anyways leo tunataka kuongelea zaidi kuhusu makeup.

Ukiongelea makeup za movie kwa upande wetu Tanzania its a horror story, kuanzia makeup tu za kawaida mpaka makeup za kubadilisha features za mwili au kupewa muonekano tofauti ni a DISASTER. Tunaona kwa sasa Bongo Movies wakijaribu kuirudisha Tasnia yao kwa nguvu zote tupo hapa kuwapa makeup artist watatu ambao watakuwa msaada mkubwa kwao.

Nasra Kaseja ni makeup artist kutoka Dar Es Salaam, Ambae yeye huwa anapenda kutuonyesha uwezo aliokuwa nao kutoka katika kazi yake. Ni makeup artist mzuri ambae anafaa kutumiwa katika bongo movies anaweza kukubadilisha kuwa mzee lakini ni mzuri pia katika kutengeneza vidonda.

Talha Talimba ni moja kati ya makeup artist wazuri kabisa kwenye swala zima la zile scary movies, anaweza kukubadilisha ukawa zombie. Tumeona kazi zake kadhaa & tunasema kwamba a girl has talent

Tunu Designs kutoka Mwanza, na yeye ni bora kabisa katika swala la makeup na kubadilisha features na kukupa muonekano mwingine.

Tunadhani ni muhimu kuwa-consider makeup artist ambao wanajua wakifanyacho ili kuzipa movies zetu uhalisia, tumechoka kuona makosa ya hapa na pale yanayoshusha tasnia na kufanya wa-Tanzania wachoshwe na movies zetu za ndani kwa kukosa kiwango kizuri.

Related posts

6 Comments

 1. chocolate unch bars

  … [Trackback]

  […] Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/makeup-artist-3-wa-kutumiwa-na-bongo-movies/ […]

 2. roof skylight

  … [Trackback]

  […] Find More here to that Topic: afroswagga.com/urembo/makeup-artist-3-wa-kutumiwa-na-bongo-movies/ […]

 3. Where to find DMT in New South Wales

  … [Trackback]

  […] Find More on that Topic: afroswagga.com/urembo/makeup-artist-3-wa-kutumiwa-na-bongo-movies/ […]

 4. 호두코믹스

  … [Trackback]

  […] Find More to that Topic: afroswagga.com/urembo/makeup-artist-3-wa-kutumiwa-na-bongo-movies/ […]

 5. unicvv shop

  … [Trackback]

  […] Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/makeup-artist-3-wa-kutumiwa-na-bongo-movies/ […]

 6. Noord-Brabant Limburg Zeeland Online medicatie kopen zonder recept bij beste Benu apotheek alternatief

  … [Trackback]

  […] Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/makeup-artist-3-wa-kutumiwa-na-bongo-movies/ […]

Comments are closed.