Moja kati ya walioingia katika list yetu ya best dressed katika Met Gala 2019, ni Ezra Miller ambapo yeye alipaka hii makeup iliyomfanya aonekane kama ana multiple eyes usoni mwake, he was on the theme ambayo ilikuwa ni camp: Note on fashion
Tumeona makeup artist wetu wawili kutoka Tanzania nao ni @Tunu_designs kutoka mwanza na @nasraliciouskaseja hawa wamejaribu ku-recreate makeup ya Ezra Miller na all we can say is we are proud of the efforts given.
All 👀s on me 🙄🙄🙄. Mmmh the hardest part I found, was to fix the fake lashes into my fake eyes, I all most gave up, kila nikiweka inaanguka. 🤣🤣 Sikuwahi kutumia hizo mambo.
Tunadhani Tasnia ya urembo wanajituma sana, kama tasnia ya mitindo ikijituma hivi basi tutafika mbali, let us know umependa hizi look zao?
Related posts
6 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/urembo/makeup-artist-kutoka-tanzania-walivyo-re-create-ezra-miller-met-gala-makeup/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 71666 more Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/makeup-artist-kutoka-tanzania-walivyo-re-create-ezra-miller-met-gala-makeup/ […]
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/makeup-artist-kutoka-tanzania-walivyo-re-create-ezra-miller-met-gala-makeup/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/urembo/makeup-artist-kutoka-tanzania-walivyo-re-create-ezra-miller-met-gala-makeup/ […]
… [Trackback]
[…] There you will find 12559 more Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/makeup-artist-kutoka-tanzania-walivyo-re-create-ezra-miller-met-gala-makeup/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/makeup-artist-kutoka-tanzania-walivyo-re-create-ezra-miller-met-gala-makeup/ […]