SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Makeup Artist Wa Tanzania Kuna Uhitaji Wa Kuwatendea Haki Wanaume Pia
Make Up

Makeup Artist Wa Tanzania Kuna Uhitaji Wa Kuwatendea Haki Wanaume Pia 

Kama hujawahi kusikia au umewahi kusikia lakini huamini basi “Yes Wanaume Hupaka Makeup Pia” japo makeup zao huwa sio obvious kama kwa wanawake, lakini wao pia wanapakwagwa kuficha vitu kadhaa wa kadhaa. Na hii sio tu Tanzania bali hata Nchi za nje na sio tu kwenye movies, music videos, bali hata kwenye interviews na red carpet.

Tofauti na wenzetu wa nje na sisi ni kwamba wao hutumia rangi za makeup zinazoendana na miili yao wakati kwetu inaoneka hii inatupa shida kidogo. Tumeona mara nyingi hasa kwenye music videos wakikosea kuwapaka makeup na kupaka makeup ambazo ni tofauti na rangi zao.

Tunadhani makeup artist wajitahidi sawa ambavyo wanajitahidi kwa wasanii au watu maarufu wa kike kuhakikisha makeup zao wanazitendea haki basi wafanye kwa wanaume pia.

Its a shame kwa mwanaume kuwa noticed kapaka makeup sababu kwa jamii zetu inaaminika makeup ni kwa wanawake tu. Japo huko kwa wenzetu wanamuziki wakubwa wakiume wanapakwa lakini huwezi tambua kama amepakwa.

Kwa sasa makampuni mbalimbali ya vipodozi yanajitahidi kutoa vipodozi ambavyo vinaendana sawa na rangi za miili yetu tunadhani hii ichukuliwe to consideration kwa wanaume pia.

Related posts

4 Comments

  1. buy howafirearms guns

    … [Trackback]

    […] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/urembo/makeup-artist-wa-tanzania-kuna-uhitaji-wa-kuwatendea-haki-wanaume-pia/ […]

  2. avery albino mushroom potency

    … [Trackback]

    […] Read More here to that Topic: afroswagga.com/urembo/makeup-artist-wa-tanzania-kuna-uhitaji-wa-kuwatendea-haki-wanaume-pia/ […]

  3. one up psilocybin chocolate bar​

    … [Trackback]

    […] Here you will find 34616 additional Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/makeup-artist-wa-tanzania-kuna-uhitaji-wa-kuwatendea-haki-wanaume-pia/ […]

  4. unicvv

    … [Trackback]

    […] Read More to that Topic: afroswagga.com/urembo/makeup-artist-wa-tanzania-kuna-uhitaji-wa-kuwatendea-haki-wanaume-pia/ […]

Comments are closed.