SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Makeup Looks From Celebrity To Inspire Your Next Makeup Appointment
Make Up

Makeup Looks From Celebrity To Inspire Your Next Makeup Appointment 

Technology imefanya mambo yamekuwa rahisi kabisa kwa sasa, huitaji kwenda salon mkaanza kutafuta album la picha muanze kuonyeshana ideas za makeup. Sasa hivi social network zimeturahisishia unafika salon una idea yako kabisa umesha save kwenye simu.

Leo tunakuletea beauty looks tatu ambazo tumekutana nazo Instagram tukazipenda tumeona tukuwekee na wewe kama utakuwa na appointment ya makeup na umeipenda moja wapo hapa basi unaweza ku-copy.

Elizabeth Michael Beautified By Lavie Makeup

Eliza is always giving us looks, kuanzia makeup mpaka mavazi. week hii tumemuona katika hii makeup kutoka kwa make up artist Lavie Makeup, kilichofanya hii makeup ku-stand out ni bold red lipstick as we always say kama unataka ku-make statement katika uso wako apply bold lipstick.

Hamisa Mobetto

Hamisa ametupa ile simple makeup ambayo unaweza kupaka kama hutaki attention sana usoni mwako, makeup aina hii inafaa sana kama ni ofisini au mizunguko ya hapa na pale.

Fahyma In Lavie Makeup Hands

Tulimuona Fahyma ambae nayeye alikuwa beaten by Lavie Makeup akiwa kwenye hii nude look, tulichopenda hapa zaidi ni eye liner ambayo yenyewe ndio ime draw attention na kuweka boldness katika look hii.

Je makeup ipi umeona inakufaa na unaweza kujaribu kupaka?

Related posts

1 Comment

  1. d8 chocolate bars

    … [Trackback]

    […] Find More on that Topic: afroswagga.com/urembo/makeup-looks-from-celebrity-to-inspire-your-next-makeup-appointment/ […]

Comments are closed.