SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Makeup Looks From Sinema Zetu Film Festival 2019
Make Up

Makeup Looks From Sinema Zetu Film Festival 2019 

Tunajua likija swala la event hasa zenye red carpet unatakiwa uhakikishe kila kitu kipo perfect, kuanzia mavazi, makeup, viatu, nywele na accessories well tumeshaona list ya nani kavaa nini lets talk about makeup looks tulizoziona

Elizabeth Michael in @divaglam_beauty,

Elizabeth Michael alikuwa host of the night, she did a middle bun hair style huku akiwa amelaza baby hair zake vizuri kabisa, wakati upande wa makeyp she gave us curled eyelashes and bold eyeliner amemaliza na ombre lipstick.

Hamisa Mobetto yeye alikuwa na hii look ambayo ni neutral, neat eyebrows, natural fake lashes akamalizia na nude lipstick wakati kichwani alikuwa na ponytail hair style. makeup by @laviemakeup 

Dc Jokate Mwegelo in @@divaglam_beauty  hands, Jokate na yeye alikuwa na neutral look, well done eye brows, Smokey eye eye shadow akamaliza muonekano wake na nude lipstick

Wema Sepetu yeye alikuwa more about the eyes and lips, she had gold as her eyeshadow, we live for the eyebrows akamalizia na brown lipstick huku kichwani akiwa na low cut hair style

Irada Styles in @cutelooksdar face beat, Irada yeye alichagua kuwa na Smokey eye, huku akimaliza muonekano wake na bold hot pink lipstick to match with her dress, na kichwani akamalizia na hijab nyeusi iliyo match na eye shadow yake

Afromates look ipi imekuvutia zaidi?

Related posts

1 Comment

  1. Brazil mushroom strain for sale,

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/urembo/makeup-looks-from-sinema-zetu-film-festival-2019/ […]

Comments are closed.