SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Makeup Looks Of The Week Kutoka Kwa Maua Sama, Shilole Na Irene Uwoya
Make Up

Makeup Looks Of The Week Kutoka Kwa Maua Sama, Shilole Na Irene Uwoya 

Ni jumatatu nyingine tena week iliyoisha kulikuwa na event nyingi tofauti tofauti Nje na ndani ya Nchi. Lakini kunawale ambao wao hupenda tu kupendeza siku hizi tunasema “we do it for the gram” .

Week hii tumewaona watu maarufu watatu ambao wao wame serve some major makeup looks for the gram, nao ni

Maua Sama ambae si mara nyingi una mkuta na full makeup usoni mwake, week hii amekuwa tofauti kidogo amepost picha zake akiwa na make up full usoni, we love the burgundy lipstick, gold eyeshadow &  eyebrows on fleek hatujajua kama ni camera au foundation ni nzito kidogo, oh Maua ame debut new hairdo.

Shilole yeye alichaguliwa peach lipstick, kama Maua nae alikuwa na eye shadow ya gold, make up ya shilole imetulia haina kelele nyingi but again kuna kitu kuhusu foundation au camera inasababisha waoenekane wazito kidogo hasa kwenye macho.

Irene Uwoya werk it in nude lips & pink’sh eyeshadow, beautiful eyeliner wamemaliza na pink hair, we love this look on her she looks different.

Well makeup ya nani imekuvutia zaidi? hawa wote wamefanyiwa makeup zao na makeup artist mmoja aitwae flolina_beauty_makeup

 

Related posts

3 Comments

  1. Best DMT shop New South Wales

    … [Trackback]

    […] Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/makeup-looks-of-the-week-kutoka-kwa-maua-sama-shilole-na-irene-uwoya/ […]

  2. window repair

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/urembo/makeup-looks-of-the-week-kutoka-kwa-maua-sama-shilole-na-irene-uwoya/ […]

  3. 다시보기

    … [Trackback]

    […] Find More here on that Topic: afroswagga.com/urembo/makeup-looks-of-the-week-kutoka-kwa-maua-sama-shilole-na-irene-uwoya/ […]

Comments are closed.