SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Makeup Looks Tulizozipenda Week Hii
Make Up

Makeup Looks Tulizozipenda Week Hii 

Tunapenda jinsi makeup artist wetu wanavyo jitahidi katika swala zima la kuwafanya wasanii na watu maarufu wetu wapendeze, yes kama kuna kitu ambacho ukiharibu unaweza kuharibu muonekano wako mzima basi ni makeup. Makeup ikiwa mbaya inaweza kuharibu na muonekano mzima wa mtoko wako hata kama ukiwa umependeza kiasi gani lazima watu wata notice a bad makeup.

week hii tumependa hizi makeup looks tatu kutoka kwa stylist Swalha Msabaha, makeup artist Cherie Mals na Vlogger Fatmah Rash

Swalha Msabaha akiwa amepakwa makeup  na perfectglow_tz, tumependa hii look tumemzoea Swalha akiwa na simple makeup usually anapenda nude lakini tumeona perfect glow wamempaka bold burgundy lipstick ambayo imeleta a pop of color.

Makeup Artist Grace Malikita ni kawaida yake kupenda kucheza na rangi, hapa akiwa na blue eye shadow ( ina trend sana kwa sasa) na nude listick, amemalizia muonekano wake na colorful braids.

 

Vlogger Fatmah Rash yeye alipakwa makeup na DivaGlam_beauty , tuseme hii ndio favorite makeup look yetu kwa week hii its just perfect and well done.

tuambie kwako umeipenda makeup ipi sana?

 

Related posts

2 Comments

  1. emergency call out

    … [Trackback]

    […] Find More here to that Topic: afroswagga.com/urembo/makeup-looks-tulizozipenda-week-hii/ […]

  2. พนันบอลออนไลน์

    … [Trackback]

    […] Find More on to that Topic: afroswagga.com/urembo/makeup-looks-tulizozipenda-week-hii/ […]

Comments are closed.