SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

MAKOSA 3 UYAFANYAYO WAKATI WA KUTUMIA BEAUTY BLENDER
Make Up

MAKOSA 3 UYAFANYAYO WAKATI WA KUTUMIA BEAUTY BLENDER 

Beauty Blander ni zile sponge zinazo tumika ku blend make up yako ikae sawa, una weza ukaziona ukaona rahisi kutumia lakini kuna namna ya kuzitumia ukapata matokeo mazuri zaidi, haya ni makosa ambayo wengi wetu tuna yafanya wakati wa kutumia beauty blender

1)unaitumia ikiwa kavu

OLYMPUS DIGITAL CAMERA

kutumia beauty blender ikiwa kavu ina leta zile alama kama za michirizi ya kukatika usoni wakati wa ku apply faundation au kipodozi chochote ni vizuri ukailowesha, ikaushe mara mbili tatu halafu paka foundation yako na upake usoni kwa matokeo mazuri zaidi, ukimaliza HAKIKISHA una iosha papo hapo na kuiacha ikauke kabisa ndipo uje kuitumia tena siku nyingine

2) Una Palaza

beauty-blender-use

hili ni kosa kubwa ambalo wengi wana fanya una paka kama foundation usoni halafu una ipalaza na beauty blender kama una paka mafuta ya mgando HAPANA unatakiwa kuibounc ile beuty blender usoni fanya kama una dundisha dundisha kitenesi

3) una paka foundation kwenye sponge

OLYMPUS DIGITAL CAMERA
OLYMPUS DIGITAL CAMERA

usipake foundation kwenye sponge halafu ndio uanze kubounce usoni hapana chukua kiasi cha foundation paka kwenye ngozi yako usoni kama puani, utosini, kidevuni mashavuni una paka kidogo kidogo kisha pitisha sponge yako kwa mtindo wa kudunda dunda

 

Related posts