Baada ya kipindi kirefu wig’s kuonekana katika beauty regime ya watu wengi sasa zimeonekana kukubalika kwa kasi na kufanikiwa kuingia katika mainstream popularity in beauty community, asante kwa watu maarufu ambao wameonekana kuzivalia kwa kiasi kikubwa.
Ikiwa zinasaidia ku-save muda lakini pia pale ambapo unapata mtoko halafu nywele hazipo vizuri ni msaada mzuri sana, lakini wig zinapendeza kama zikiwa installed vyema, kama itakuwa installed vibaya hazikai vyema na kama mtu maarufu definitely zinatia aibu, kwa sasa tuna wig experts wengi sana ikiwa wengi wametumia muda wao kujifunza namna ya kuzi-install vizuri lakini pia huwa tuna-notice makosa mbalimbali ambayo yanafanyika na haya ni baadhi yao
- Kununua lace Fronts Wigs Zenye Lace Closure Nene
Hata kama budget yako ni ndogo, unapaswa kuhakikisha unatumia hela zako ulizozipata kutokana na kazi ngumu uzianyazo zinanunua lace wig yenye lace closure nyembamba,ambayo itakaa vizuri na kuonekana smooth wakati imekuwa installed, kwa wale ambao bado mnajiuliza closure ni nini, Closure ni hair piece ambayo hushonewa mbele ya wig ili kufanana na nywele asili. Material ya closure ikiwa nene na ndivyo ambavyo wig itaonekana vibaya ikiwa installed

- Kutokusuka Nywele Zilizopo Chini Ya Wig lako
Hii ni major key alert unapotaka kuvaa wig lako ililisionekane vibaya au kutunatuna hakikisha umesuka vyema nywele zako za asili, wengi wetu huwa tunachana nywele nyuma na kubana kisha tunavaa wig #wrongmove wig itatuna na kuonekana fake zaidi. Ni vyema kama utasuka nywele zako za minyoosho ndogo ndogo kwenda nyuma na kisha ukalivaa inasaidia wig kukaa vyema bila kutunatuna.
- Over-styling Your Baby Hair
hapa ni wengi sana tunakosea, baby hair zinakuwa over styled mpaka zinaonyesha kabisa this is fake hair. Wakati ukivaa nywele ambayo si yako ( yaani fake hair) basi hakikisha unajitahidi kuwa trick wengine kutambua kwamba hii nywele ni fake, na vipi unaweza kufanya hivi? ni kuhakikisha inaonekana natural bila kutumia effort nyingi, so make sure una style baby hair zako as simple / minimum as you can.

- Rangi Ya Closure Kutokuendana Na Ya Mwili
Katika kitu kosa ambalo linaonekana kufanyika mara kwa mara ni hili, kuchukua closure ambazo haziendani na rangi ya mwili wako. Okay inawezaka ikaonekana ni too much lakini pia unaweza kupaka foundation kwenye closure ambayo inaendana na mwili wako ili kuondoa ile closure kuonekana tofauti na rangi ya mwili tofauti

Well Afromates tuambie Je huwa unaangalia vitu gani wakati wa kununua na ku-install wigs?
Related posts
7 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/urembo/makosa-4-ya-wigs-ambayo-hufanyika-na-namna-ya-kuyatatua/ […]
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/makosa-4-ya-wigs-ambayo-hufanyika-na-namna-ya-kuyatatua/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on to that Topic: afroswagga.com/urembo/makosa-4-ya-wigs-ambayo-hufanyika-na-namna-ya-kuyatatua/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on on that Topic: afroswagga.com/urembo/makosa-4-ya-wigs-ambayo-hufanyika-na-namna-ya-kuyatatua/ […]
… [Trackback]
[…] Here you can find 35130 additional Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/makosa-4-ya-wigs-ambayo-hufanyika-na-namna-ya-kuyatatua/ […]
… [Trackback]
[…] There you will find 6396 more Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/makosa-4-ya-wigs-ambayo-hufanyika-na-namna-ya-kuyatatua/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/makosa-4-ya-wigs-ambayo-hufanyika-na-namna-ya-kuyatatua/ […]