SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Makosa Ya Ngozi Unayoyafanya
Skin Care

Makosa Ya Ngozi Unayoyafanya 

Utaratibu kwa utuzaji ngozi umekuwa kitu cha kawaida na kizuri, wengi wetu tunachukulia serious sana hili swali kila mmoja wetu anatakakuwa na skin goals. Lakini unaweza kukuta unatumia vipodozi vizuri ila matokeo huyapati unayoyataka hapa sasa ndipo shida huanza, unajijali lakini matokeo hupati kumbe unafanya vitu ndivyo sivyo.

Haya ni makosa machache tuliyoyaona yanafanyika na wengi wetu

 • Kutokufanya research ya kipodozi unachotumia

Hii tulishaiongelea wengi tukiona kipodozi kipo kwenye trend watu wengi wanatoa ushuhuda wametumia basi na sisi tunakwenda kukinunua na kutumia bila kujua nini kilichopo ndani yake na kama kinaendana na ngozi zetu au lah.

Umuhimu Wa Kusoma Lebo Katika Vipodozi

 • Kutokutoa makeup kabla ya kwenda kulala

Hii ni muhimu unapolala na vipodozi usoni hutengeneza vipele, na sio makeup tu hata kama ni cream au lotion unapaka usoni ni vyema ukaitoa kabla ya kulala, unless ni kipodozi ulichoshauriwa ulale nacho. Japo makeup remover huwa zinasaidia lakini ina shauriwa uoshe ngozi na sabuni hili kuhakikisha umetoa vipodozi hivyo kabisa.

 • Usitumbue vipele / chunusi

Wakati wengi wetu huwa tunahisi tunamaliza tatizo kumbe ndio kwanza tunatengeneza lingine au kulizidisha lilelililopo kuwa kubwa zaidi, ukitumbua chunusi kuna matatu

 • Bacteria kusambaa sehemu nyingine na kusababisha huko nako kutokee chunusi
 • Kusababisha matobo ambayo yanaweza kuingia uchafu / bakteria na kusababisha madhara mengine
 • Kuacha doa jeusi ambalonalo utataka kuhangaika kulitoa

Acha chunusi iishe yenyewe au tumia kipodozi cha kuiondoa soma chini kwa maelezo zaidi kuhusu Madhara Ya Kutumbua Chunusi Na Namna Ya Kuacha Tabia Hio.

Pata Kufahamu Madhara Ya Kutumbua Chunusi Na Namna Ya Kuacha Tabia Hio

Related posts

4 Comments

 1. 다시보기

  … [Trackback]

  […] Read More on that Topic: afroswagga.com/urembo/makosa-ya-ngozi-unayoyafanya/ […]

 2. superkaya88

  … [Trackback]

  […] Read More on to that Topic: afroswagga.com/urembo/makosa-ya-ngozi-unayoyafanya/ […]

 3. สูตรอ่านเค้าไพ่ บาคาร่า

  … [Trackback]

  […] Read More here on that Topic: afroswagga.com/urembo/makosa-ya-ngozi-unayoyafanya/ […]

 4. psilocybin mushrooms for sale ohio

  … [Trackback]

  […] Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/makosa-ya-ngozi-unayoyafanya/ […]

Comments are closed.