Every woman dream is to have healthy natural hair very gorgeous and lovely.
Lakin kuweza kupata haya matokeo inahitaji kua na mahusiano mazuri na nywele yako kwakua nywele nzuri sio tu kupaka mafuta halaf nywele ikue hapana.
Mambo ya kuzingatia ili uweze kukuza nywele yako vizuri.
- Jitaid kuielewa nywele yako kwakua kuna aina za nywele tofauti kwa sisi waafrica wengi tunaangukia 4 hair type and wengne ni 3hair type so ni vizuri kujua nywele ipo group ipi ili uweze kujua uwezo wa nywele , pia jitaid kujua uwezo wa nywele yako kunyonya na kutunza unyevu (Hair porosity) kuna aina tatu za hair porosity na hii ni low,medium na high na hapa utaweza kugundua sio kila mafuta unayopaka kwenye nywele yako yanafaa kwenye nywele yako.
- Jitaid kua na ratiba ya nywele yako ( healthy hair routine) kwakua ukuaji wa nywele yako utategemea na namna ratiba ya nywele ilivyo kama ni kwa siku, wiki ,kwa mwez lini unaosha nywele yako, lini unafanya steaming na pia hata ukiwa unasuka nywele kabla ya kusuka nin unafanya na baada ya kusuka namna ya kutunza nywele yako ikiwa imesukwa Ili hata ukiwa umefumua isiwe imekatika.
- Kula chakula kizuri maana ukuaji wa nywele yako pia unategemea na chakula unachokula kila siku jitaid kula matunda, mboga mboga na pia chakula chenye madini ya kutosha kama ya chuma kwa upungufu wa madini ya chuma yanaweza kukusababishia nywele yako kukatika.

- Na uwe na products sahihi za nywele yako na kujua namna ya kupaka hayo mafuta na pia condtioners mbali mbali jitaid kuepuka mafuta na shampoo zenye chemicals kali kwakua zinaweza kukuletea matatzo kwenye nywele yako na kua kavu.
Na vizur kujua kila mafuta unayopaka yanakazi gan kwenye nywele yako kwakua uwa hakuna mafuta yanayo kkuza nywele wala kuifanya nywele yako isiwe kavu .
- Naamin hizi tips zitakusaidia leo namna ya kutunza nywele yako kwa usahihi kujifunza zaid pitia hii account Instagram @letsgonaturaltz .
Related posts
7 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] There you can find 33303 more Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/mambo-ya-kuzingatia-katika-ukuzaji-wa-nywele-za-asili/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/mambo-ya-kuzingatia-katika-ukuzaji-wa-nywele-za-asili/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/urembo/mambo-ya-kuzingatia-katika-ukuzaji-wa-nywele-za-asili/ […]
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/urembo/mambo-ya-kuzingatia-katika-ukuzaji-wa-nywele-za-asili/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/urembo/mambo-ya-kuzingatia-katika-ukuzaji-wa-nywele-za-asili/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here on that Topic: afroswagga.com/urembo/mambo-ya-kuzingatia-katika-ukuzaji-wa-nywele-za-asili/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/urembo/mambo-ya-kuzingatia-katika-ukuzaji-wa-nywele-za-asili/ […]