Mwanamitindo Martha Hunt jana alihudhuria katika sherehe za Tuzo za CFDA akiwa ameweka crystal makeup machoni, si kitu kipya tumeshaona makeup artist wakitumia crystals kwenye urembo kama eye shadow, kwenye nyusi na sehemu nyingine mbalimbali kwake yeye na makeup artist wake waliamua kuzungushia jicho zina na crystal.
Martha amesema alitaka kutumia vito kama makeup katika uso wake na akashauriana na makeup artist wake kufanya hili litokee ” I wanted to collaborate with my makeup artist to figure out a way to use the jewels in my makeup,” Hunt said of her Swarovski crystal-embellished face inspired by high-fashion editorials. “This is one of the few brands that you can use the raw materials and play around with them. I wanted to do something a bit more innovative for the CFDA red carpet.”
Well it does look good on her lakini tuambie kwako je ni Slayed or Played?
Related posts
3 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/urembo/martha-hunt-debuted-crystals-makeup-at-the-cfda-awards/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/martha-hunt-debuted-crystals-makeup-at-the-cfda-awards/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/urembo/martha-hunt-debuted-crystals-makeup-at-the-cfda-awards/ […]